mmmh mbona wanawake tunalo na wewe dada ndo inavosoma kwako?this means it is over between us for long time therefore we don't have to interfere each other in our life!
hivi na ukikuta mail kama hii unafanyaje???
umeona kaka
mwishowe atakuta na risiti ooh nilienda saluni na watoto
nilimlipa h/girl
nilinunua soksi na boxer lipa hana alili huyo
Now, who is interfering with who?This means it is over between us for long time therefore we don't have to interfere each other in our life!
Hivi na ukikuta mail kama hii unafanyaje???
Duh ndoa nyingine ni balaa
So mume ametumia umeme na anamdai mke wake amlipe pesa alizotumia kulipia umeme
Naamini kuna tatizo kubwa hapo kakti ya wawili hao na sio hili la kuandikiwa email
Naona mnakuwa wakali tu hapa............mumemsikiliza huyo mwanaume??
kama huyo mwanaume ndo alivyo, basi inakuwaje alimpenda alivyo na sasa hivi anahisi anakuwa kero?
Come clean wewe Suzy wa kuchonga!!
Kama utaratibu wao ni kwamba mke nalipa bills, inakuwaje wakigombana ulipaji wa bills utumike against mshkaji??But naomba nimlaumu kwanza huyo dada
Inaelekea wakati akiwa hapa kabla hajaenda kusoma alimzoesha huyo jamaa yake kulipiwa kila kitu kwa maana ya matumizi ya nyumbani kwake
Kama alikuwa analipa bill za umeme au maji au matumizi ya ndani na huyo jamaa ni kula kulala hapo ni tatizo zaidi
Tunaweza tukawa tunamlaumu huyo jamaa kumbe tatizo limelelewa muda na hiyo familia
Ni kiasi cha mwanamama kukata huduma ahakikishe huduma zinazofika ni zile za muhimu kama za watoto (iwapo wana familia) na hayo mengine jamaa aambiwe wazi kuwa anatakiwa kupambana nayo
But naomba nimlaumu kwanza huyo dada

kumbe kuna wanaume wanapenda dezo eeeh yaani unaishi na mume ndani then mabill yote unacleaer wewe hata ukiwa nje ya nchi mabill yanakufata? Hii kalibut naomba nimlaumu kwanza huyo dada
inaelekea wakati akiwa hapa kabla hajaenda kusoma alimzoesha huyo jamaa yake kulipiwa kila kitu kwa maana ya matumizi ya nyumbani kwake
kama alikuwa analipa bill za umeme au maji au matumizi ya ndani na huyo jamaa ni kula kulala hapo ni tatizo zaidi
tunaweza tukawa tunamlaumu huyo jamaa kumbe tatizo limelelewa muda na hiyo familia
ni kiasi cha mwanamama kukata huduma ahakikishe huduma zinazofika ni zile za muhimu kama za watoto (iwapo wana familia) na hayo mengine jamaa aambiwe wazi kuwa anatakiwa kupambana nayo
MJ1 kama signature yako inavyosema sasa huyu jamaa naona ana-dance vilivyo na Da Suzzy amefanywa dance floor na kama wasipokaa chini na kuyatatua matatizo mapema huyu Da Suzzy yatayomkuta huko mbeleni it will be too late kuyatatua mimi naamini bado wana muda wa kutatua hili tatizo before things get more worse kuliko ilivyo sasa hivi pia inawezekana jamaa anajua Suzzy hana ubavu (hapindui kwake) kwahiyo anam-toss jinsi atakavyoThe Finest, nimeogopa kutoa mtazamo wangu mimi kwani nilijua wengi wanaweza wasiamini but kumbe kuna wanaume wa aina hii. Mimi picha ninayoipata hapa, kama ni kweli haya anayofanyiwa Da Suzzy, basi huyu ameendekezwa sana. Anajua fika kuwa Suzzy hapindui kwake.
But naomba nimlaumu kwanza huyo dada
Inaelekea wakati akiwa hapa kabla hajaenda kusoma alimzoesha huyo jamaa yake kulipiwa kila kitu kwa maana ya matumizi ya nyumbani kwake
Kama alikuwa analipa bill za umeme au maji au matumizi ya ndani na huyo jamaa ni kula kulala hapo ni tatizo zaidi
Tunaweza tukawa tunamlaumu huyo jamaa kumbe tatizo limelelewa muda na hiyo familia
Ni kiasi cha mwanamama kukata huduma ahakikishe huduma zinazofika ni zile za muhimu kama za watoto (iwapo wana familia) na hayo mengine jamaa aambiwe wazi kuwa anatakiwa kupambana nayo
Sasa hapo ndo hii ..........Post yako ina mashiko Bigirita na ndio maana nikaweeka angalizo la KAMA NI KWELI. But kuhusu kumpenda hivyo alivyo sweetheart, wapo watu ambao wana matabia ya ajabu ambayo wanawake wengi tunajidanganyaga kuwa watabadilika kumbe tunasahau kuwa kama ni mtu aliyezoea kutake for granted s/he will never change. Atatake for granted love yako na kukuabuse mpaka useme basi.
This means it is over between us for long time therefore we don't have to interfere each other in our life!
Hivi na ukikuta mail kama hii unafanyaje???
Kama utaratibu wao ni kwamba mke nalipa bills, inakuwaje wakigombana ulipaji wa bills utumike against mshkaji??
Au kwa vile analipa bills anataka asiambiwe kitu??
Sioni relevance ya kuongelea ulipaji wa bills wa jamaa. Inawezekana jamaa ameshafanya mambo mengine makubwa zaidi.
Well said BigiritaSasa hapo ndo hii ..........
......Marriage is like a Dance, No matter how the Music changes you keep on Dancing...
MJ1 kama signature yako inavyosema sasa huyu jamaa naona ana-dance vilivyo na Da Suzzy amefanywa dance floor na kama wasipokaa chini na kuyatatua matatizo mapema huyu Da Suzzy yatayomkuta huko mbeleni it will be too late kuyatatua mimi naamini bado wana muda wa kutatua hili tatizo before things get more worse kuliko ilivyo sasa hivi pia inawezekana jamaa anajua Suzzy hana ubavu (hapindui kwake) kwahiyo anam-toss jinsi atakavyo
Hahahha nawe yamekukuta ya Suzzy nini maana hili nalo zito mwe!
This is a WORD
Hakuna marefu yaso na mwanzo Mr. Rocky. Mwanzo wa relationship ndio unaodefine the proceddings. Kama Da Suzzy alikuwa anafoot bills za nyumbani toka mwanzo asitegemee kubadilika but shemeji naye (kama ni kweli) hana haki ya kumnyanyasa Suzzy kwa kuwa tu anampenda! To me nahisi kuna la ziada hapa kama wamechokana si vema kung'ang'aniana