Eh watu wamekuwa wakali mwe! Jamani mnisamehe tu bure but haya ni sehemu tu ya yanayojiri katika mapenzi na mahusiano. Msipovuke sana
KWeli kabisa kamanda, tena tumuongeze hapo na shemeji mtu kabisaa, yaani wote ni kuchabangwa mboko m@takoniHii dunia hata haifai tena,
Kwa wale tuliokatisha karne hizi 2 kweli tumeona mengi ila haya yanayojitokeza sasa hivi hata hayaelezeki!!
Itabidi tutafute jina jingine ila naona wimbi la wanaume suruali linazidi kushika kasi.......
Kule kwetu mwanamume wa namna hii angeitwa kwenye kikao cha watu wazima (ME na KE) na kucharazwa viboko hadharani...!
Ila huyo dada naye anatakiwa kujua kuwa huyo ama ni mke mwenzake au yeye anachukuliwa kama mume mwenza kwenye hiyo ndoa. Kama anaweza kuendesha familia, basi anaweza kupeleka mahari kesho na kujipatia kitu kipya...
Sijui Da Sophy anasubiri nini!!
KWeli kabisa kamanda, tena tumuongeze hapo na shemeji mtu kabisaa, yaani wote ni kuchabangwa mboko m@takoni
ni kweli swahiba, niliogopa tu kusema kwamba huyo demu naye zezeta maana siku hizi watu wako very gender sensitivenimeshangaa kweli, halafu huyo dada naye anataka ushauri wakati writings are on the wall, kwamba its a dumb and dumber relationship
WTF.... hebu ngoja nipate mneli kabisa maana ntavunja haka kamachine ka watu
Eh watu wamekuwa wakali mwe! Jamani mnisamehe tu bure but haya ni sehemu tu ya yanayojiri katika mapenzi na mahusiano. Msipovuke sana
Hahahaha! Mbu dah sina mbavu nimecheka kweli kweli dah eti "Msukule" kama alivyosema MTM wengine imebidi tuwe gender sensitive ila hii ya "Msukule" imeniacha hoi aiseeMTM...hapana kamanda...kuna wanawake wajinga pia...hasa huyu!
"msukule"
...ni dhahiri haya matatizo ameyalea miaka nenda rudi,...
leo hii amepewa ratiba ya call centre, ati naye rohoni hasa
anaumia? khaaa?????????? can't she tell she's being abused?
"msukule"
kwani ni lazima wawasiliane na simu? e bana mimi mwenzenu roho yangu
ishaingia kutu... hii kitu kubembelezana aisee NEVER AGAIN....pheeeww, ujinga mtupu!
...sijaupenda kabisa mdahalo huu mwj1...najuta kuharibu mapumziko yangu jioni hii..
huyo shoga yako ni "msukule" tena wa kujitakia!
Cousin wewe na Mbu mmeniacha hoi kweli Dumb and Dumber relationship...lolnimeshangaa kweli, halafu huyo dada naye anataka ushauri wakati writings are on the wall, kwamba its a dumb and dumber relationship
WTF.... hebu ngoja nipate mneli kabisa maana ntavunja haka kamachine ka watu
Hahahaha! Mbu dah sina mbavu nimecheka kweli kweli dah eti "Msukule" kama alivyosema MTM wengine imebidi tuwe gender sensitive ila hii ya "Msukule" imeniacha hoi aisee
...mnh, we acha tu bana...maana hata remote control kuna kipindi inagoma kubadilisha channel, iweje mwanadamu
afanywe kama kikarikenya cha Joyce wo wo wo? --- unakikumbuka miaka ile?, au ulikuwa haujazaliwa,...lol!
...kamanda, hivi umegundua wanawake wasomi na wenye nafasi zao kijamii, wengi wao wana suffer domestic abuses compared na wale waliokimbia 'umande?'...au weye waonaje? inachangiwa na nini hii?
Lol...Mbu Kikarikenya nakumbuka sana maana kile kilikuwa unawekwa mziki halafu kinachezeshwa jinsi mwenye nacho anavyopenda
...mnh, we acha tu bana...maana hata remote control kuna kipindi inagoma kubadilisha channel, iweje mwanadamu
afanywe kama kikarikenya cha Joyce wo wo wo? --- unakikumbuka miaka ile?, au ulikuwa haujazaliwa,...lol!
Joyce wowowo??? kheheheeeeeeeeeeeee... ngoja nisepe
Lol...Mbu Kikarikenya nakumbuka sana maana kile kilikuwa unawekwa mziki halafu kinachezeshwa jinsi mwenye nacho anavyopenda
huyo mwanaume anatafuta visa tu manake kma anampenda mke wake hata siku moja awezi kufanya upuuz huo wako wengi wanaume wa dizaini hiyo
umeona eh,mi nahisi demu ndo alimtongoza jamaa ndo mana anakiburikuna ishu nyuma ya pazia, si hii ya simu. Na ndio inayompa huyo jamaa kiburi yote hiyo