Kama ni kweli, ni picha gani unapata hapa??

Kama ni kweli, ni picha gani unapata hapa??

Ha ha ha Smile bana si jana ulisema humtaki tena unatafuta Babu kama Asprin na DC???

Duuuu,

Kumbe hata vibogoyo wanatafutwa??? Yaani wana umuhimu au ni deal kama zamani tulivyokuwa tunaambiwa kuwa kipara huko DRC ni zaidi ya diamond!
 
Kwa ujumla ni kwamba hiyo ndoa ina matatizo ya muda mrefu, na hili lililotokea ni ka kipande kadogo tu kwenye lundo la matatizo. Hili tatizo hata likishughulikiwa likaisha, bado halitayamaliza yale mengine.
Ili kuwasaidia inabidi kuchimbua yale matatizo original na kuyashughulikia, otherwise itakuwa ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu.
 
Inaelekea dada Suzy anampenda mumewe zaidi ya mume anavyompenda yeye na inaelekea Suzy yuko tayari kuingia gharama yoyote ili ailinde ndoa yake,ndio maana mume kamgeuza ATM. Hata kama suzy atakuwa ana kipato kikubwa kuliko mumewe, ni wajibu wa mume akiwa kama kichwa cha familia kuihudumia familia yake
 
Yaani nimejikuta ninacheka balaa, haki ya nani DA na crew yako mmedata kha! Ngoja niwahikwa shigongo kwa hisani ya Kasendi
 
Dears,
Wakati MJ1 mie naomboleza na ya kwangu, leo asubuhi nakutana na simu ya rafiki yangu ambaye alikuwa analia simuni kiasi cha kumwomba anisms tatizo ni nini. Akaamua kuniandikia mail ya kilichomsibu;

Yeye na Mr wake wanaishi mbalimbali kutokana na kutafuta maisha. Dada Suzzy (Si jina lake halisi) anaishi nje ya nchi lakini within EAC na mumewe anaishi nchini.

Juzi jumapili Da Suzzy anasema kapigiwa simu na shemeji lakini kwa bahati mbaya alikuwa amejipumzisha hakuisikia (ilikuwa ni jioni kwenye saa kumi na mbili jioni). Lakini alipoamka na kukuta missed call, akataka kucall back, only to realize kuwa hana credit kwenye simu na huko anakokaa ni mbali na maduka. So hakuweza kupiga but akajihimu alfajiri kwenda mjini kununua voucher akampigia shemeji hakupokea, akatuma sms ya kuomba radhi ya kushindwa kuwasiliana hakupata majibu. Lakini baada ya masaa mawili, akiwa kazini akakutana na e-mail ilotoka kwa Mr wake ikisema-
kuanzia muda sasa hatokuwa anapokea simu za mkewe hovyo, na muda alioamua ni fridays mchana na mwisho saa nne tu.

Da Suzzy a
nasema amechanganyikiwa, hajui la kufanya maana anajiona kama anatumika tu kwani kwa muda wamekuwa na matatizo na Mr wake (Haya sikuwa nayajua hadi leo). Anasema mumewe kwa sasa anamdai pesa ambazo amezitumia kwa kulipia matumizi ya nyumbani huku TZ kama maji na umeme, Mama ni among ya wale ambao wanatake care kila kitu ndani ya familia, mf. matengenezo/insurances za gari la familia, chakula cha familia n.k.

Silaumu lakini ninayo mawazo juu ya hili, ila kabla sijamweleza lolote ninaomba tusaidiane, maana ninaweza kuwa ninachokifikiria sicho.
matatizo ya kuendekeza extended families na mwanaume mpuuzi

sijawahi kusikia mtu mwenye akili timamu anadai pesa za matumizi anazotoa kwa familia yake
 
MTM...hapana kamanda...kuna wanawake wajinga pia...hasa huyu!
"msukule"

...ni dhahiri haya matatizo ameyalea miaka nenda rudi,...
leo hii amepewa ratiba ya call centre, ati naye rohoni hasa
anaumia? khaaa?????????? can't she tell she's being abused?
"msukule"

kwani ni lazima wawasiliane na simu? e bana mimi mwenzenu roho yangu
ishaingia kutu... hii kitu kubembelezana aisee NEVER AGAIN....pheeeww, ujinga mtupu!

...sijaupenda kabisa mdahalo huu mwj1...najuta kuharibu mapumziko yangu jioni hii..
huyo shoga yako ni "msukule" tena wa kujitakia!
 
DA, ukikuta email kama hii unajibu mstari mmoja tu:
ok baby, talk to u on friday. utanipigia ili nisikosee muda.till then...
afu aipate khabari yake! mjini hawatikisi vibiriti manake ni vya gesi,kha!
This means it is over between us for long time therefore we don't have to interfere each other in our life!

Hivi na ukikuta mail kama hii unafanyaje???
 
tena anamdai mkewe, wala sio hawara! halafu mke mwenyewe hayuko home, anataka refund ya hela aliyotumia kula yeye na wanae! wonders will never cease,huh! nadhani ntaanza kuvuta bhange this wknd, i shld!
matatizo ya kuendekeza extended families na mwanaume mpuuzi

sijawahi kusikia mtu mwenye akili timamu anadai pesa za matumizi anazotoa kwa familia yake
 
MTM...hapana kamanda...kuna wanawake wajinga pia...hasa huyu!
"msukule"

...ni dhahiri haya matatizo ameyalea miaka nenda rudi,...
leo hii amepewa ratiba ya call centre, ati naye rohoni hasa
anaumia? khaaa?????????? can't she tell she's being abused?
"msukule"

kwani ni lazima wawasiliane na simu? e bana mimi mwenzenu roho yangu
ishaingia kutu... hii kitu kubembelezana aisee NEVER AGAIN....pheeeww, ujinga mtupu!

...sijaupenda kabisa mdahalo huu mwj1...najuta kuharibu mapumziko yangu jioni hii..
huyo shoga yako ni "msukule" tena wa kujitakia!
ni kweli swahiba, niliogopa tu kusema kwamba huyo demu naye zezeta maana siku hizi watu wako very gender sensitive
 
tena anamdai mkewe, wala sio hawara! halafu mke mwenyewe hayuko home, anataka refund ya hela aliyotumia kula yeye na wanae! wonders will never cease,huh! nadhani ntaanza kuvuta bhange this wknd, i shld!
nimeshangaa kweli, halafu huyo dada naye anataka ushauri wakati writings are on the wall, kwamba its a dumb and dumber relationship

WTF.... hebu ngoja nipate mneli kabisa maana ntavunja haka kamachine ka watu
 
mneli? kitu kipya sokoni eeh? inabidi unifedex kaka,lol

we acha tu, kuna mexican products unapiga pafu mbili halafu unajikuta uko mitaa ya jupiter ukielekea pluto kwa kibajaji... ni balaa tupu aisee, hata kile cha usandawe hakioni ndani
 
matatizo ya kuendekeza extended families na mwanaume mpuuzi

sijawahi kusikia mtu mwenye akili timamu anadai pesa za matumizi anazotoa kwa familia yake

Hii dunia hata haifai tena,

Kwa wale tuliokatisha karne hizi 2 kweli tumeona mengi ila haya yanayojitokeza sasa hivi hata hayaelezeki!!

Itabidi tutafute jina jingine ila naona wimbi la wanaume suruali linazidi kushika kasi.......

Kule kwetu mwanamume wa namna hii angeitwa kwenye kikao cha watu wazima (ME na KE) na kucharazwa viboko hadharani...!

Ila huyo dada naye anatakiwa kujua kuwa huyo ama ni mke mwenzake au yeye anachukuliwa kama mume mwenza kwenye hiyo ndoa. Kama anaweza kuendesha familia, basi anaweza kupeleka mahari kesho na kujipatia kitu kipya...

Sijui Da Sophy anasubiri nini!!
 
Back
Top Bottom