Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mimi nimechanja yaani ni mwezi sasa sijaugua hata mafua kabla ya kupata chanjo vihoma kila wiki mwendazake aliwatia ujinga sana chanjo zinagombaniwa nchi nyingine lakini wabongo hawachanji wanaishia kufa kimya kimyaSiso tumamshukuru kwa luleta chanjo. Binafsi nimechanjwa. Kama mnaona mnamkomesha mama kwa kutochanjwa basi endeleeni.
Wewe umegusa msingi wa tatizo. Aliyesababisha watanzania wawe mbumbu alishakufa na hawezi kujitokeza kurekebisha ujinga alioeneza.Tatizo tangu mwanzo wa hii pandemic kwetu hapa Tz suala hili lilichukuliwa kisiasa zaidi na kiimani badala ya kuchukuliwa kisayansi zaidi, that was a big mistake na ndio hilo linaitesa serikali na wizara yake ya afya, na litaendelea kuitesa serikali kwa sababu baadhi ya wanasiasa wameshalifanya tatizo hili la corona kuwa ni mtaji wao wa kujipatia umaarufu zaidi na zaidi,
Tofautisha KUTWALIWA na KUFA.Nadhani ile hotuba yake ya mwisho pale St Peters kabla hajatwaliwa wananchi waliielewa sana!
Ujinga hautegemei no's. hata tukiwa wengi zaida ya sana kama tuwajinga titakuwa WAJINGA TU.Wazirudishe kwa wenyewe waliozitoa.
Tanzania tulishajua Sayansi haina jibu juu ya janga hili tuliamua kumtegemea Mungu.
Hahahaaaa....... Ufipa st!Ujinga hautegemei no's. hata tukiwa wengi zaida ya sana kama tuwajinga titakuwa WAJINGA TU.
View attachment 1924722
Huku kwetu habari za madhara ya chanjo tunazipata kutoka kwenye vijiwe vya kahawa na kwenye klabu za komon ndio huko tunaambiwa baada ya muda waliochanjwa watakuwa Zombies !!Nilishachanja. Booster inategemea kinga itapungua lini, na sasa hivi bado wana-monitor wanaone. Mpango wa booster unaondaliwa sasa ni kwa wale wenye magonjwa nyemelezi kwanza. Sitegei chanjo zinazokuja Bongo kwani hata chanjo ya kwanza sikuchanja Bongo. Haya mambo yanaweza kuwa mageni kwa watu wasio na exposure lakini kwa mtu aliyebahatika kusafiri na kukaa nchi nyingine haya ni mambo ya kawaida tu. Mbona kila mwaka nchi zilizoendelea kuna chanjo za influenza kwa wazee na wamekuwa wanachanja siku nyingi tu.?
Nimeshachanja,Wewe umesha chanja au bado?
Kama bado nenda uongeze udadi tusogesogee wachanjaji.
Ahahaha upupu.Ujinga hautegemei no's. hata tukiwa wengi zaida ya sana kama tuwajinga titakuwa WAJINGA TU.
View attachment 1924722
Samia mwenyewe haaminiki who told you anaaminika??Nani sasa anaaminika wakati kikubwa kilichobadilika hapo ni Samia kutoka kuwa Makamu wa rais na kuwa rais na kubadili msimamo waliyokuwa nao mwanzo kwa kuleta chanjo ila watu wote ndio walewale sasa ajabu mnamuona waziri wa afya tu, nani kasema kuwa ukibadili waziri wa afya ndio watu watakubali kuchanjwa ikiwa wamemuona hadi rais akichanjwa ila bado wamegoma?
Now you are talking...!!Wala usiwe na shaka. Tuzidi kuomba Mungu uzima ili ifike hiyo 2023. Kama majaribio yatakamilika 2023 kwa sisi tuliochanjwa kufanyiwa majaribio basi najivunia kuwa mmoja wa watu waliojitolea bila woga ili wanadamu waweze kupambana na hao virus. Nikuulize swali: Chanjo zote zinazotumika sasa hivi (ambazo kuna uwezekano mkubwa na wewe umeshachanjwa) kama za tetunus, homa ya manjano, surua, ndui nk unajua kuwa kuna watu walikubali kufanyiwa majaribio na ndiyo wamewezesha binadamu kuyashinda hayo magonjwa ambayo yalikuwa janga kwa dunia yetu? Kuna kitu gani kingine kizuri kama kusaidia binadamu wenzako kuyashinda maradhi? Ningekuwa wewe wala nisingekuwa nawabeza ambao wamekubali kutumika kufanyiwa majaribio kama unavyoamini bali ningewaheshimu sana. Bila wao majaribio wangefanyiwa kina nani? Ina maana hata surua, polio, tetunus nk pengine ingekuwa imewauwa wazazi wako au wangu na sisi tusingekuwepo hapa leo. Au tulipokuwa wadogo tungeshapotezwa na hayo magonjwa.
Mbona wewe hujaongeza idadi katika kupitia kile chama cha fisi wa kijani?Au wao hawafi kwa corona?Nadhani wanachama wa Chadema ni chini ya laki 1.
Hapana, Paskali MayallaJoseph Selasini?!
Hajachanja wakati alichanja live kwneyw tv?
Wanachotakiwa kufanya ni kuwakamata Gwajima, Polepole na wote wanaotumia hiyari yao kuhoji juu ya chanjo maana wanazuia chanjo zisiishe.Nimemsikia msemaji wa serikali akisema waliochanjwa chanji ya covid 19 hadi sasa ni watanzania laki 3 na ushee, hii ni chini ya 50% ya chanjo zilizoletwa zaidi ya mwezi sasa.
Kama takwimu hizi ni sahihi basi Wizara ya afya inafeli sana.
Nini kifanyike?
Kwako mwanabodi.....!
Kuna member wa Ufipa humu ametangaza chanjo kwa nguvu zote lakini ameshindwa kuwatangazia wanachama wenzie wa ufipani wakachanjwe.Jf Ina members Zaidi ya laki tano! Tumeshindwa nini kukumalizia hizo chanjo?