#COVID19 Kama ni kweli waliochanja chanjo ya Corona hawazidi laki 4 hadi sasa basi Waziri wa Afya na Naibu wake wajiuzulu

Mungu hakoseagi. Hawezi kumuumba mwanadamu mwenye IMMUNITY mbovu hadi ategemee J & J!
 
Wawatoe kwakosa gani mtoa mada naona unakosa akili inamana haujui Kama chanjo Ni hiyari
 
Siso tumamshukuru kwa luleta chanjo. Binafsi nimechanjwa. Kama mnaona mnamkomesha mama kwa kutochanjwa basi endeleeni.
Hata mimi nimechanja yaani ni mwezi sasa sijaugua hata mafua kabla ya kupata chanjo vihoma kila wiki mwendazake aliwatia ujinga sana chanjo zinagombaniwa nchi nyingine lakini wabongo hawachanji wanaishia kufa kimya kimya
 
Wewe umegusa msingi wa tatizo. Aliyesababisha watanzania wawe mbumbu alishakufa na hawezi kujitokeza kurekebisha ujinga alioeneza.
 
Hatuchanji! Hakuna chanjo iliyojaa porojo kama hii! Wale mnaoona wasiochanja vilaza kachanjeni tu ....
 
Wazirudishe kwa wenyewe waliozitoa.
Tanzania tulishajua Sayansi haina jibu juu ya janga hili tuliamua kumtegemea Mungu.
Ujinga hautegemei no's. hata tukiwa wengi zaida ya sana kama tuwajinga titakuwa WAJINGA TU.

 
Huku kwetu habari za madhara ya chanjo tunazipata kutoka kwenye vijiwe vya kahawa na kwenye klabu za komon ndio huko tunaambiwa baada ya muda waliochanjwa watakuwa Zombies !!
 
Samia mwenyewe haaminiki who told you anaaminika??

She is just playing rock 'n'roll as her predecessor !

Wait until she rig the upcoming general election by unprecedented margin!

We shall revisit!
 
Now you are tal
Now you are talking...!!
 
Wanachotakiwa kufanya ni kuwakamata Gwajima, Polepole na wote wanaotumia hiyari yao kuhoji juu ya chanjo maana wanazuia chanjo zisiishe.
 
Jf Ina members Zaidi ya laki tano! Tumeshindwa nini kukumalizia hizo chanjo?
Kuna member wa Ufipa humu ametangaza chanjo kwa nguvu zote lakini ameshindwa kuwatangazia wanachama wenzie wa ufipani wakachanjwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…