Nani aliekuambia sisi watanzania ni wanasayansi?Tatizo tangu mwanzo wa hii pandemic kwetu hapa Tz suala hili lilichukuliwa kisiasa zaidi na kiimani badala ya kuchukuliwa kisayansi zaidi, that was a big mistake na ndio hilo linaitesa serikali na wizara yake ya afya, na litaendelea kuitesa serikali kwa sababu baadhi ya wanasiasa wameshalifanya tatizo hili la corona kuwa ni mtaji wao wa kujipatia umaarufu zaidi na zaidi,
CCM imezuia msichanjwe?Kinachotakiwa kufanyika ni kuondoa chama cha ccm madarakani.
Kivipi?Sayansi inatakiwa izidi hiyo siasa
Rais alisema BBC kwamba anashukuru watanzania wamepokea tozo vizuri na juzi wamefurahi sana walivyopunguziwa jumla ya asilimia 40.Huo ni ushahidi kuwa kwa sasa serikali haina ushawishi tena kwa umma, wanachoweza ni kupora fedha za wananchi kwa njia ya tozo bila makubaliano.
ThubutuuuuHumu wengi ni chadema na wote wamechanjwa!
Eti wanafuata maelekezo ya JPM hayatiKama idadi ni ndogo kiasi hicho basi wafuasi wa chadema siyo watiifu kwa mwenyekiti wao. Mwenyekiti kabla hajawekwa lupango alisema chanjo ni lazima, kwa nini wanachadema wote hawajaitikia agizo la mwenye kigoda? Au chadema ina wanachama chini ya laki 3?
80% wako nje.Jf Ina members Zaidi ya laki tano! Tumeshindwa nini kukumalizia hizo chanjo?
Kwani na wewe ulipoamua kuchanja unamfurahisha mama yako au hiyari?Sio tunamshukuru kwa kuleta chanjo. Binafsi nimechanjwa. Kama mnaona mnamkomesha mama kwa kutochanjwa basi endeleeni.
Sijasema Samia anaaminika ndio maana nashangaa mnataka Samia amuondoa Waziri Gwajima et haaminiki.Samia mwenyewe haaminiki who told you anaaminika??
She is just playing rock 'n'roll as her predecessor !
Wait until she rig the upcoming general election by unprecedented margin!
We shall revisit!
Uhakika wa hayo uko wapi au ni maneno ya kijiweni tuLike ni igizo ili wazungu watoe hela.
Ndio haaminiki .Sijasema Samia anaaminika ndio maana nashangaa mnataka Samia amuondoa Waziri Gwajima et haaminiki.
Inabidi member wa Jf wajiuzuru wote, hii si sawaJf Ina members Zaidi ya laki tano! Tumeshindwa nini kukumalizia hizo chanjo?
Kipimo gani kinakufanya uamin kwamba kuchanja watu ndiyo mafanikio? (Only scientific arguments, or else, just mute)Nimemsikia msemaji wa serikali akisema waliochanjwa chanji ya covid 19 hadi sasa ni watanzania laki 3 na ushee, hii ni chini ya 50% ya chanjo zilizoletwa zaidi ya mwezi sasa.
Kama takwimu hizi ni sahihi basi Wizara ya afya inafeli sana.
Nini kifanyike?
Kwako mwanabodi.....!
Wapumbavu wote wanaopiga kelele sasa hivi kuwa hawataki chanjo, soon watachanjwa, wewe ukiwa mmoja wao. Ni suala la muda tu. Magufuli angesikiliza hoja za wataalam pengine angekuwa hai mpaka sasa. Nasikia alikuwa anajitapa eti virus kama Trump na uzee wote aliambukizwa na akapona sembuse yeye! Ilipompata ndiyo ikawa hivyo tena. Ubishi mwingine!Now you are tal
Now you are talking...!!
Pfizer hatuwezi kuihifadhi hapa TZ inataka temperature ya -2C to -38C na vilevile chanjo ni za msaada wa marekani hatuna uchaguziHatuitaki hiyo ya Johnson and Johnson.
Walete Moderna na Pfizer uone kama zitadumu wiki moja.
Ni wataalamu gani uliyowasikiliza wewe ambao wamekwambia Magufuli alikufa na corona?Wapumbavu wote wanaopiga kelele sasa hivi kuwa hawataki chanjo, soon watachanjwa, wewe ukiwa mmoja wao. Ni suala la muda tu. Magufuli angesikiliza hoja za wataalam pengine angekuwa hai mpaka sasa. Nasikia alikuwa anajitapa eti virus kama Trump na uzee wote aliambukizwa na akapona sembuse yeye! Ilipompata ndiyo ikawa hivyo tena. Ubishi mwingine!
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Kina Gwajima the porn star!!!Ni wataalamu gani uliyowasikiliza wewe ambao wamekwambia Magufuli alikufa na corona?
Gwajima ndio mtaalamu wa nini? ndio aliyekwambia Magufuli kafa na corona? Nyie hapa mnasema Magufuli alikuwa hasikilizi wataalamu ila nyie mnafanya vilevile, hapo ulipo huna hata chembe ya ushahidi kuthibitisha hayo madai yako ya kwamba Magufuli kafa kwa corona ila umeshikilia tu hilo suala kama imani kinyume kabisa na wataalamu ambao ndio walikuwa wakimtibu ambao wao wamesema chanzo cha kifo ni matatizo ya moyo ila wewe unakuja hisia zako za chuki na Magufuli unabishia wataalamu unatuambia Magufuli kafa na corona, sasa tukusikilize wewe tusiyekujua hata ni nani au tusikilize wataalamu?🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Kina Gwajima the porn star!!!