#COVID19 Kama ni kweli waliochanja chanjo ya Corona hawazidi laki 4 hadi sasa basi Waziri wa Afya na Naibu wake wajiuzulu

Kamuulize Gwajima. Ana dearth certificate yake. Corona!!!
 
Wewe utaishije?
 
Kamuulize Gwajima. Ana dearth certificate yake. Corona!!!
Sijawahi kumsikia Gwajima akitoa hayo madai ya kifo cha Magufuli kuwa chanzo ni corona, wewe ndio unaamini kuwa Magufuli kafa kwa corona hivyo ni wewe ndio unahitaji kuthibitisha na si mwengine kukuthitishia hiyo imani yako.
 
Kwani mpaka umsikie wewe? Basi jaribu kwenda kumuuliza.
 
Sijawahi kumsikia Gwajima akitoa hayo madai ya kifo cha Magufuli kuwa chanzo ni corona, wewe ndio unaamini kuwa Magufuli kafa kwa corona hivyo ni wewe ndio unahitaji kuthibitisha na si mwengine kukuthitishia hiyo imani yako.
 
Dunia ianenda kwenye chanjo ya booster wakati waTanzania wanaendelea kulumbana kwenye kachanjo kadogo walichojaribishiwa!.
Siasa zitatumaliza na dunia kutucheka.
Huu ni utopolo usiokubalika viongozi mmeshindwa wapi?
Ndio ninyi wale wale mliounga mkono nyungu!?
 
Pfizer hatuwezi kuihifadhi hapa TZ inataka temperature ya -2C to -38C na vilevile chanjo ni za msaada wa marekani hatuna uchaguzi
Temperature ya -38 Centigrade mpaka -2 Centigrade zina muujiza gani mpaka ishindikane kufikiwa hapa Tanzania?
 
Hujui kitu wewe nyumbu. Uwezo wako wa kufikiri ni wa kiwango cha chini sana
 
Nadhani ile hotuba yake ya mwisho pale St Peters kabla hajatwaliwa wananchi waliielewa sana!

Leo ndiyo nimeelewa kwanini Magufuli alishupalia Gwajima achaguliwe Kawe kumbe ni kwa sababu ya mahubiri haya

Mkuu ni kweli idadi ya waliochanja ni ndogo, laki 5 inaweza kuwa bado haijafika, lakini shida sio waziri kwasababu waziri hawezi kuamrisha polis akamate watu wakachanje! Serikali yenyewe kupitia rais wetu na Amiri jeshi mkuu imeshasisitiza kuwa chanjo ni hiyari so haina haja ya kumlaumu waziri!
Lakini yapo mazingira ya kuwalzimisha watu kuchanja chanjo mfano wakisema mtu ambaye hajachanja chanjo hakuna kuingia maeneo ya mikusanyiko mikubwa kama vile kwenye masoko, stendi za mabasi, kwenye viwanja vya mpira n.k.
 
Ni siasa kila pembe ya dunia mkuu.
 
Hii ndio inatumika Ulaya na Marekani kwa sasa. Chanjo ni lazima.
 
Ulitaka wawafuate majumbani wawakamate kwa nguvu

USSR
 
Kwakweli HAMISSA MOBETO
Arudishe zile Ela za uhamasishaji.

Hamna alichohamasisha hapa
 
Sijisikii kama naweza kuiamini bidhaa inayopigiwa chapuo na comedian Mrs Gwajima.. Huyu mama alipaswa kuwa kwenye zile kampuni ambazo wanakwambia wana vidonge ukimeza kimoja ni sawa na umekula bakuli 3 za mboga za majani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…