Kama ni marehemu unafikiri sasa tupo hatua gani kumaliza msiba?

Kama ni marehemu unafikiri sasa tupo hatua gani kumaliza msiba?

Desierto

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2019
Posts
901
Reaction score
3,112
Nafurahia marehemu anavohangaika kuingia kaburini watu wamfukie. imebaki tu kufukia maana kama kufa kashakufa na kuaga tushaaga na sasa ndo tupo makaburini muda huu

Hatuondoki makaburini mpaka na mimi nihakikishe nimetupia chepe langu moja
 
Back
Top Bottom