Desierto JF-Expert Member Joined Aug 26, 2019 Posts 901 Reaction score 3,112 Nov 21, 2025 #1 Nafurahia marehemu anavohangaika kuingia kaburini watu wamfukie. imebaki tu kufukia maana kama kufa kashakufa na kuaga tushaaga na sasa ndo tupo makaburini muda huu Hatuondoki makaburini mpaka na mimi nihakikishe nimetupia chepe langu moja
Nafurahia marehemu anavohangaika kuingia kaburini watu wamfukie. imebaki tu kufukia maana kama kufa kashakufa na kuaga tushaaga na sasa ndo tupo makaburini muda huu Hatuondoki makaburini mpaka na mimi nihakikishe nimetupia chepe langu moja
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Nov 23, 2025 #2 Ngoja tuone... Cc: Mahondaw