Kama ni mboga, hawa wanadada wa JF ungewafananisha na mboga gani?

Kasema utaje mboga alafu umfananishie mtu na hiyo mboga, aya wewe umefananisha mlenda na nani au Numbisa? [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sipo mie.

Na wewe nimeamua kuvunja masharti [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Hahah!! Nakufata huko huko
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji593][emoji593][emoji593]
 
Kiswahili fasaha.
Katika vitu vinne ulivyotaja mboga ni mchicha na vingine ni vitoeo (kitoeo).
Kwa namna alivyoumba Mungu, Mwanadamu hawezi kufananishwa na kitu chochote kwa sababu Mungu alimuumba kwa mfano wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…