Kama ni mboga, hawa wanadada wa JF ungewafananisha na mboga gani?

Kama ni mboga, hawa wanadada wa JF ungewafananisha na mboga gani?

Ni mboga lakini sio mboga...
Yanauzwa bei rahisi, kila nyumba lazima ukute kilo tano za maharage [emoji3][emoji3][emoji3]. Mambo yakibana watu huyafululiza 24/7.
Sasa ubaya wake uko wapi?

Em suggest awe mboga gani huyu Sakayo
 
Back
Top Bottom