ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Ni mboga lakini sio mboga...Maharage ni mboga mbaya kwan mkuu?
Yanauzwa bei rahisi, kila nyumba lazima ukute kilo tano za maharage [emoji3][emoji3][emoji3]. Mambo yakibana watu huyafululiza 24/7.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mboga lakini sio mboga...Maharage ni mboga mbaya kwan mkuu?
[emoji23][emoji23][emoji23]Hapa jf sipati usingiz kisa Hajar,
Hajar ni Mwanamke mwenye heshima
Busara na anayejali sana
Sasa ubaya wake uko wapi?Ni mboga lakini sio mboga...
Yanauzwa bei rahisi, kila nyumba lazima ukute kilo tano za maharage [emoji3][emoji3][emoji3]. Mambo yakibana watu huyafululiza 24/7.
Hii ni mboga gani mkuu?Under higher F/A
hahahaMsusa naupenda
Kwenye list yako haipo
Haswa yakiungwa na ndimu weeee matamu hayoDemiss- matembele
Unakua mwoga mkuuKuna mambo zingine naonaga nikisema neno nitajikuta napata tafasiri yenye kumjeruhi mtu.
Ebu ngoja nikuwe msomaji tu aiseeeee
Sipo muoga mkuu, sema anajulikana.....tehteehhhUnakua mwoga mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] .Juzi walikua wanyama leo mboga kabisa