Donatila
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,772
- 22,598
Habari wakuu,
Husika na kichwa hapo juu,
Nasema na wewe dada /kaka ambaye unapenda kuvaa nguo nyeupe ila mchafu...
Najua unapenda nguo nyeupe Ile wewe mchafu hazikupendi...
Unalazimisha Nini Sasa wakati wewe kufua mvivu utaumbuka...
Nguo nyeupe sio za watu wachafu..
Zinataka usafi wa hali ya juu...
Umezoea nyeusi kaka na dada usilazinishe..
Utakuja kuaibika bure nguo zimegeuka rangi ya maziwa we unaona nyeupe...
Tupishe bwana vaa rangi nyingine...
Mbona rangi nyingi sana..
Ongezea na wewe ..