Kama ni mchafu jua nguo nyeupe sio hadhi yako

Kama ni mchafu jua nguo nyeupe sio hadhi yako

Habari wakuu,

Husika na kichwa hapo juu,

Nasema na wewe dada /kaka ambaye unapenda kuvaa nguo nyeupe ila mchafu...

Najua unapenda nguo nyeupe Ile wewe mchafu hazikupendi...

Unalazimisha Nini Sasa wakati wewe kufua mvivu utaumbuka...

Nguo nyeupe sio za watu wachafu..
Zinataka usafi wa hali ya juu...

Umezoea nyeusi kaka na dada usilazinishe..

Utakuja kuaibika bure nguo zimegeuka rangi ya maziwa we unaona nyeupe...

Tupishe bwana vaa rangi nyingine...
Mbona rangi nyingi sana..

Ongezea na wewe ..

Donatila
Sikuwahi kujua kuwa chupy nyeusi nayo inaonesha uchafu. Juzi nimemtembelea mdada fulani, kama kawaida vidume tukiona vyupi vimeanikwa lazima jicho ligande kidogo. On my surprise, niliona chupy cheusi kina mchirizi wa ukoko kwenye maungio ya miguu. Salale, ilibidi aniagizie soda dukani sikutaka kabisa kunywa juisi aliyoiandaa.
 
Dah

Sikia kuna vitu sio adabu mzazi wako kuviona kabisa kwa mtazamo wangu

Siwezi anika nguo zangu za ndani nje kamwe

Siwezi tembea kifua wazi nikiwa home kwa wazazi wangu wala kuvaa pensi

Siwez mruhusu mzazi wangu kuingia napolala ata dada yangu
kwenye hadhara kama hii unatuonyesha manyonyo Ili iweje
 
Habari wakuu,

Husika na kichwa hapo juu,

Nasema na wewe dada /kaka ambaye unapenda kuvaa nguo nyeupe ila mchafu...

Najua unapenda nguo nyeupe Ile wewe mchafu hazikupendi...

Unalazimisha Nini Sasa wakati wewe kufua mvivu utaumbuka...

Nguo nyeupe sio za watu wachafu..
Zinataka usafi wa hali ya juu...

Umezoea nyeusi kaka na dada usilazinishe..

Utakuja kuaibika bure nguo zimegeuka rangi ya maziwa we unaona nyeupe...

Tupishe bwana vaa rangi nyingine...
Mbona rangi nyingi sana..

Ongezea na wewe ..

Donatila
Bora umesema
 
Back
Top Bottom