Km ww ni mtz na umepitia au upo ktk mahusiano na hujawahi kukutana na zawadi za 1;pipi ya kijiti(big bom) 2;apple[emoji2] [emoji3] [emoji2] either ww ndio ulitoa au ulipewa km hujapitia hii stage fanya uirudie utakua umeruka stage ucje sumbua watu uzeeni[emoji125] [emoji125] [emoji125]