Lycaon pictus JF-Expert Member Joined Jan 31, 2021 Posts 9,189 Reaction score 16,128 Feb 21, 2023 #1 Habari. Kama ni mwanafunzi wa UDSM na una muda mchache wa kufanya kazi fulani nicheki PM. Mwanafunzi anayesomea masomo ya kiswahili. Natanguliza shukrani.
Habari. Kama ni mwanafunzi wa UDSM na una muda mchache wa kufanya kazi fulani nicheki PM. Mwanafunzi anayesomea masomo ya kiswahili. Natanguliza shukrani.
Ndu wa kweru JF-Expert Member Joined Nov 18, 2021 Posts 445 Reaction score 1,120 Feb 23, 2023 #2 Wanafunzi wa kiswahili huwa hawaingii JF au ?Sioni aliyejitokeza
Queen Kan JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 5,226 Reaction score 8,961 Feb 23, 2023 #3 Mkuu kwakua hamna, mimi nimesoma masomo hayo ila sio UD na nilishamaliza