Kama Ni Utajiri Angekuwa Tajiri Wa Kutupwa,Kama Ni Pesa Usiseme,Lakini Hazionekani-SALIM A. SALIM

Na marosoroso yote hayo ya uarabu wake bado unataka awe rais wako?
 
Mbona nasikia alikua ni kipenzi cha marehemu Baba wa Taifa? Na kama Salim atakua ni Fisadi basi atakua ndio Fisadi wa kwanza Mzanzibari katika historia ya nchi hii!
 
Kuna tetesi nimezisikia kuwa hata hii JF jamaa inawezekana ikawa anaimiliki yeye na wana magamba wenzake.sasa wanacdm kuweni makini mana nasikia magamba washachukua uongozi wa hii blog pia.
 
mah Salim ni jembe la ukweli hapa bongo na duniani kwa ujumla, uwezo wa kifedha wa jembe hili ni wa kufikirika miongoni mwa Watanzania wengi, toka enzi ya mwl, mfano ktk mkutano mkuu wa ccm wakati huo ktk uchaguzi , aliulizwa swali la umilki wa MWANAMBOKA na mmoja wa wajumbe, lkn kabla yeye hajajibu mwl alimjibia swali hilo kwa kumtaja mmiliki wa kampuni hiyo, fursa za utajiri kwa wanasiasa ni pana saaana ukiwa mwadilifu na mchapakazi makampuni mengi ya uwekezaji lazima yatapenda kutumia jina lako , hivyo lazima atakuwa na hisa nyingi ktk makampuni mbalimbali ndani ya nchi nje ya nchi, nilipata kusikia kuwa jamaa ni makamu mwenyekiti wa celtel[africa] vilevile hata ile nafasi yake ya mjumbe kwenye bodi ya MO IBRAHIM kaipata sababu ya uadilifu, uaminifu,uchapaji kazi ,uanadiplomasia , uwezo kifedha na UTANZANIA uleeeeeee wa mwl.
 
Ni mkarim c mta ta wala
c wakujianika kwenye vyombo.hiyo ni lulu inayo zama bila doa.
 
Tatizo ameshakua na umri mkubwa.

angalau kwa umri wake wa ujana akiwa ktk siasa za kimataifa/kitaifa hakuacha sekendo mbaya ya ufisadi.huwezi kumlinganisha na wanasiasa wa nyakati hizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…