Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
swadakta kabisa
na marosoroso yote hayo ya uarabu wake bado unataka awe rais wako?
mbinu aliyotumia jk kumwangusha huyu jamaa ndiyo ambayo lowasa anataka kutumia kuchukua nchi hii!
mah Salim ni jembe la ukweli hapa bongo na duniani kwa ujumla, uwezo wa kifedha wa jembe hili ni wa kufikirika miongoni mwa Watanzania wengi, toka enzi ya mwl, mfano ktk mkutano mkuu wa ccm wakati huo ktk uchaguzi , aliulizwa swali la umilki wa MWANAMBOKA na mmoja wa wajumbe, lkn kabla yeye hajajibu mwl alimjibia swali hilo kwa kumtaja mmiliki wa kampuni hiyo, fursa za utajiri kwa wanasiasa ni pana saaana ukiwa mwadilifu na mchapakazi makampuni mengi ya uwekezaji lazima yatapenda kutumia jina lako , hivyo lazima atakuwa na hisa nyingi ktk makampuni mbalimbali ndani ya nchi nje ya nchi, nilipata kusikia kuwa jamaa ni makamu mwenyekiti wa celtel[africa] vilevile hata ile nafasi yake ya mjumbe kwenye bodi ya MO IBRAHIM kaipata sababu ya uadilifu, uaminifu,uchapaji kazi ,uanadiplomasia , uwezo kifedha na UTANZANIA uleeeeeee wa mwl.Huyu jamaa ni mwanasiasa mkongwe sana na kama ni pesa kwa kazi aliyofanya duniani basi angekuwa nazo za kumwaga mno ukiachilia mbali tu hiyo elimu yake.Lakini we tafuta popote pale huwezi investment ukaambiwa ni yake,sasa yeye aliwekeza wapi?? Kuna siku nasikia Mwl.Nyerere alishawahi kusema zamani kuwa salim alikuwa na mambo machafu sana sasa sijui mashushu wake walimtonya kitu gani?
Au ndugu yetu yeye aliwekeza nje ya nchi yetu?Mimi sijui kitu ila wanajamvi karibuni sana tufahamishane mana kama kuwa na pesa huyu ndiyo angekuwa nguli haswa mana huko njee mshahara wake siyo mas'hala,na kama kweli aliridhika na alichonacho hajafanya ufisadi basi huyu ndiyo anastahili kuwa mfano wa kuigwa na pia anastahili kuwa Rais wetu pia.
Haya wana jamii karibuni sana kuhangia kwa ustaarabu na si kwa jazba wala kukejeliana.
Tatizo ameshakua na umri mkubwa.