Kama ni wapenzi na mnafichiana simu basi hampendani

I
Imeandikwa: “mwanamke mpumbavu huibomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe “
Bali mwenye hekima huijenga kwa mikono yake mwenyewe.
 
Imeandikwa:
Upendo huvumilia
Upendo huamini yote
Haukosi kuwa na adabu
Hauhesabu mabaya
N.k
Ukiona mwenza wako hazingatii hayo ujue hakupendi.
Anatafuta sababu na visingizio tu.

Kupekua simu maana yake humuamini mwenzi wako wakati upendo unapaswa kuamini yote
 
Uko sahihi kabisa jambo la kusikitisha hata viongozi wa dini katika kufungisha ndoa wanatoa upuuzi kama huo. Kama mume mke ni mwaminifu kwanini ahofu mwenzake kushika simu
By the way definition ya KUPEKUA ni nini? Raha ya simu ni lazima uifungue uone picha chats na call log huko sio kupekua ndio kuangalia simu ukweli ni kwamba kampeni ya kuzuia simu ya mwenza ni mkakati wa shetani kutengeneza mazingira mazuri ya wanandoa kufanya mambo yao achana na uzinzi kuna mipango ya pesa mambo ya kutapeliwa na kujiingiza kwenye matatizo endapo mwenza aliyesmart akiona chat zisizo eleweka kwa mwenzake ni rahisi kumshauri na kumuokoa kwenye matatizo, hata emails na makabrasha ya kazini mwenza mwenye uelewa wa mambo hayo anatakiwa awe huru kugusa na kusoma. Mimi kuna wakati nilisev namba ya pasta wetu siku nyingine nilimpigia sim akapokea wife wake akaniambia hii ni namba yangu lakini siku nyingine huwa anachukua anajisahau na kutembea nayo matokeo yake anafanya mawasiliano offical kupitia sim hiyo au akiwa hana salio anachukua sim ya wife anaondoka nayo sim yake inabaki home.nimeipenda sana hiyo stailihii ni tofauti na wazee wetu ambao wakati wanarudi hom lazima wakohoe kidogo ili kama kuna mtu akimbi e hata simu kama unaishia mara kwa mara sio kama atakuwa achepuki lakini walau atachepuka kwa tahadhari ni hatari sana mume na mke mkonoamoja halafu mwenzako anachati na mchepuo tena mesej nyingi anaziacha waziwazi.
 
Umefikiria upande wa usaliti pekee, lakini kuna mambo mengine pia ambayo mkeo,mpenzi hawapaswi kujua, kumbuka uyo muda wowote anaweza kuwa adui yako.
Kwenye hii dunia , usimuamini mtu hata mmoja. Trust yourself. Binadamu anaweza kukugeuka siku yoyote.
Simu yangu ni ya kwangu na yeye ni yake. Hata ukipekua simu yake haizuii mtu kuchepuka.
 
Uko sahihi kabisa jambo la kusikitisha hata viongozi wa dini katika kufungisha ndoa wanatoa upuuzi kama huo. Kama mume mke ni mwaminifu kwanini ahofu mwenzake kushika simu
By the way definition ya KUPEKUA ni nini? Raha ya simu ni lazima uifungue uone picha chats na call log huko sio kupekua ndio kuangalia simu ukweli ni kwamba kampeni ya kuzuia simu ya mwenza ni mkakati wa shetani kutengeneza mazingira mazuri ya wanandoa kufanya mambo yao achana na uzinzi kuna mipango ya pesa mambo ya kutapeliwa na kujiingiza kwenye matatizo endapo mwenza aliyesmart akiona chat zisizo eleweka kwa mwenzake ni rahisi kumshauri na kumuokoa kwenye matatizo, hata emails na makabrasha ya kazini mwenza mwenye uelewa wa mambo hayo anatakiwa awe huru kugusa na kusoma. Mimi kuna wakati nilisev namba ya pasta wetu siku nyingine nilimpigia sim akapokea wife wake akaniambia hii ni namba yangu lakini siku nyingine huwa anachukua anajisahau na kutembea nayo matokeo yake anafanya mawasiliano offical kupitia sim hiyo au akiwa hana salio anachukua sim ya wife anaondoka nayo sim yake inabaki home.nimeipenda sana hiyo stailihii ni tofauti na wazee wetu ambao wakati wanarudi hom lazima wakohoe kidogo ili kama kuna mtu akimbi e hata simu kama unaishia mara kwa mara sio kama atakuwa achepuki lakini walau atachepuka kwa tahadhari ni hatari sana mume na mke mkonoamoja halafu mwenzako anachati na mchepuo tena mesej nyingi anaziacha waziwazi.
Emails za kazini? Sisi na.marufuku mtu yoyote kutumia laptop au kuwa na access na emails zako. Hata boss wako haruhusiwi kuwa na access nazo.
 
Back
Top Bottom