Kama ni wewe dada basi jitokeze mwenzio nimechoka kusubiri!

Kama ni wewe dada basi jitokeze mwenzio nimechoka kusubiri!

hio rangi yako ya maandishi kali sana hakuna atakayejitokeza...utawakimbiza wote!!!
 
Kuna watu huku wanavunga kuku kumbe bata tu!!Hahitaji wala kuamini kabisa katika mahusiano but kila siku yuko huku????
 
Hello! ba ndugu na jamaa'
unajua mimi nashanagaa sana ukifungua love connect ni malalamiko si wadada wala wakaka kilio ni kimoja kila mtu anamtafuta mwenzake hamuoni tatizo ni nini hasa.....? binafsi naona wakaka ndiyo wengi humu jamii foumu tunaotafuta wenzetu wadada sioni kama ni wengi sana, si hapa tu jf ila hadi kwenye mitandao mingine y kijamii hasa ya hapa nchini hususani, ingawa kwa hisia za watu na takwwimu wanawake wanaonekana kuwa wengi sana wanaotafuta wenzao, shida niionayo mimi wadada wengi wana yale mambo ya zamani kuwa mpaka anianze ndiyo maana wanaonekana wachache na sababu ya pili wanakasumba ya kuchagua sana huku wakiwa hawana uhakika wa kuapta mtu wanayemtarajia!
Angalizo:
Ebooooo...! ebu tuweni serius tupo ambao ata mwanamke akituanza tunaona kawaida mimi binafsi siioni kama ni ajabu kwa mwanamke kuniomba uhusianao, pia niweke wazi nasumbuka sana kumtafuta mwenzangu simwoni kama atasoma hii thread basi ajitokze mara mara moja mwenziwe namsubiri muda sasa anipm nitampa mawasiliano mchakato uanze kabisa!
!

nisamehe kwa kuwaumiza macho asanteni!

Sio kweli kwamba hakuna wadada wanaotafuta wenza humu jukwaani, mbona wapo wengi tu. Ila shida inakuja pale kwenye vigezo. Ninaamini kwamba mdada/mkaka anayekuja MMU kutafuta mwenza lazima atakuwa na vigezo vya anayemuhitaji na hapo ndio utata unapoanzia.

Nakushauri ili uweze kupata mwenza hapa, weka vigezo vyako halafu na vya umtafutae. Weka vigezo vinavyowezekana, Usiweke vigezo vya kusadikika.
 
Back
Top Bottom