KATASAN'KAZA
JF-Expert Member
- Jul 24, 2013
- 3,097
- 1,356
Filled!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hio rangi yako ya maandishi kali sana hakuna atakayejitokeza...utawakimbiza wote!!!
Pambaf zako!
Kuumizana macho ndio nini sasa?????
Hello! ba ndugu na jamaa'
unajua mimi nashanagaa sana ukifungua love connect ni malalamiko si wadada wala wakaka kilio ni kimoja kila mtu anamtafuta mwenzake hamuoni tatizo ni nini hasa.....? binafsi naona wakaka ndiyo wengi humu jamii foumu tunaotafuta wenzetu wadada sioni kama ni wengi sana, si hapa tu jf ila hadi kwenye mitandao mingine y kijamii hasa ya hapa nchini hususani, ingawa kwa hisia za watu na takwwimu wanawake wanaonekana kuwa wengi sana wanaotafuta wenzao, shida niionayo mimi wadada wengi wana yale mambo ya zamani kuwa mpaka anianze ndiyo maana wanaonekana wachache na sababu ya pili wanakasumba ya kuchagua sana huku wakiwa hawana uhakika wa kuapta mtu wanayemtarajia!
Angalizo:
Ebooooo...! ebu tuweni serius tupo ambao ata mwanamke akituanza tunaona kawaida mimi binafsi siioni kama ni ajabu kwa mwanamke kuniomba uhusianao, pia niweke wazi nasumbuka sana kumtafuta mwenzangu simwoni kama atasoma hii thread basi ajitokze mara mara moja mwenziwe namsubiri muda sasa anipm nitampa mawasiliano mchakato uanze kabisa!!
nisamehe kwa kuwaumiza macho asanteni!