Kama ni wewe dada basi jitokeze mwenzio nimechoka kusubiri!

hio rangi yako ya maandishi kali sana hakuna atakayejitokeza...utawakimbiza wote!!!
 
Pambaf zako!
Kuumizana macho ndio nini sasa?????
 
Kuna watu huku wanavunga kuku kumbe bata tu!!Hahitaji wala kuamini kabisa katika mahusiano but kila siku yuko huku????
 

Sio kweli kwamba hakuna wadada wanaotafuta wenza humu jukwaani, mbona wapo wengi tu. Ila shida inakuja pale kwenye vigezo. Ninaamini kwamba mdada/mkaka anayekuja MMU kutafuta mwenza lazima atakuwa na vigezo vya anayemuhitaji na hapo ndio utata unapoanzia.

Nakushauri ili uweze kupata mwenza hapa, weka vigezo vyako halafu na vya umtafutae. Weka vigezo vinavyowezekana, Usiweke vigezo vya kusadikika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…