Dola Iddy Wa Chelsea
JF-Expert Member
- Sep 26, 2014
- 2,125
- 1,526
Mambo vipi wana MMU, baada ya mishe mishe za kutwa nzima tufurahi na kucheka wote tuongeze siku za kuishi,
Imagine upo town kwenye harakati zako ndani ya gari yako IST unaelekea kwako mara paap unakutana na rafiki yako anakuomba lift umsogeze aendako,
Mkiwa njiani mnakutana na gari aina ya RANGE ROVER mara rafiki yako anakwambia oyah mwana unacheki CHUMA hilo!!
Wewe utamjibu nini au utaamua nini kwa huyu rafiki yako uliempa lift?