Dola Iddy Wa Chelsea
JF-Expert Member
- Sep 26, 2014
- 2,125
- 1,526
...au unampakia mama mkwe kwenye Toyota Passo yako mara jamaa wa Range Rover anawapita km mmesimama kisha mama mkwe anakuambia unaona wanaume hao?Imagine upo town kwenye harakati zako ndani na mke wako unaelekea kwako mara paap unakutana na rafiki yako mnaungana nae kurudi home.
Mkiwa njiani mnakutana na dem ana BONGE LA TAKO mara rafiki yako anakunong'oneza oyah mwana unacheki CHUMA hilo!!
Hahahaaaa! Mama mkwe atatembea kwa miguu sinaga ngwewe mimi....au unampakia mama mkwe kwenye Toyota Passo yako mara jamaa wa Range Rover anawapita km mmesimama kisha mama mkwe anakuambia unaona wanaume hao?
Rafiki yako atakuwa ni SYB @Imagine upo town kwenye harakati zako ndani na mke wako unaelekea kwako mara paap unakutana na rafiki yako mnaungana nae kurudi home.
Mkiwa njiani mnakutana na dem ana BONGE LA TAKO mara rafiki yako anakunong'oneza oyah mwana unacheki CHUMA hilo!!
Namshusha tu fasta ili akapande range ya wanaume...au unampakia mama mkwe kwenye Toyota Passo yako mara jamaa wa Range Rover anawapita km mmesimama kisha mama mkwe anakuambia unaona wanaume hao?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Akikuambia 'unaona chuma hiko' Unamjibu tumpelekee fundi welding akatuyeyushie tupate visu na mapanga..Stress za nini Kwa vitu vidogo km hivyo mkuu?
Kummbuka ni mama mkweNamshusha tu fasta ili akapande range ya wanaume