KAMA NI WEWE UTAFANYAJE??

KAMA NI WEWE UTAFANYAJE??

Alwatanbhai

Member
Joined
May 1, 2013
Posts
74
Reaction score
78
Umeenda kutembea ukweni kwako baada ya chakula chausiku unapewa chumba chakulala inapofika usiku unatakakutoka kwenda kujisaidi kwasababu taa zimezimwa unapamia vyombo vya chakula sebleni kipindi unajalibu kupapasa uviweke sawa mala taa inawashwa na mama mkwe anaona umeshika vyombo anakwambia, baba kama ukushiba ungesema [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kama niwewe ungejibu je?
 
Hamna namna, inabidi usubiru wakutukane tuuuu alafu asubuh nasepa ghafla
 
Hapana mama, niliona nisiwasubue ndiomaana nikaja kujipakulia mwenyewe...[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mimi nilikwenda Tanga kwa wazee wa demu wangu kufika usiku mkojo ulinibana nikawa naelekea chooni sasa mlango wa chooni kuufungua naona kitanda. Mara naona mwanga wa taa Hee si kumbe chumba cha dada yake mwanamke wangu😱😡 alipiga kelele Baba na Mama wa mwanamke wangu walikuja mbio. Kilichotokea hapo ilibidi asubuhi niage tuu
 
Back
Top Bottom