Kama ni ww utamuachache mtu uliye mpenda?

Kama ni ww utamuachache mtu uliye mpenda?

dah ata mm kunakpnd flan ilkuwa ivyo sema nikawa najlwaza na mabom laana,bro flan akaniweka sawa maisha yakaendelea ila ukwel nayachukia mapenz
 
Huyu wako ni mwingi wa habari wa kuzima simu mkiwa wote ,Dah
Kama bado unampenda jaribu kukaa nae umwambie mambo ambayo huyapendi kama atakubaliana na wewe
Mpe muda wa kujirekebisha ikishindikana bwana ...aaa majibu unayo toka moyoni mwako
 
kiukweli nina tatizo kama lako ila kuna tofauti kidogo. Ni ngumu kuamua. Ukiangalia ni mtu ambaye ulishamweka ndani ya moyo wako na ulishafunga hesabu ya kuhangaika ukijua umepata mtu haswa anayekufaa.

halafu mara nyingi watu hushauri wenzao kutokana na experience na hata lifestyle walionayo au inyowazunguka. Halafu kusema eti na we uuchune si solution bcoz mtakuwa kama mnashindana na yawezekana ukaongeza tatizo juu ya tatizo.

dawa kwa mimi ninavyoona,,, akili kichwani mwako ndugu yangu ,we ndo uliyempenda na we ndo unamjua vizuri ni bora ukatumia gharama yoyote uiwezayo kumchunguza na kuujua ukweli kwa sasa ili ulimalize tatizo mapema kuliko kunyamaza na kuendelea kuwa na manung`uniko nafsini kwako.

ni mtazamo tu.
 
bora ukatumia gharama yoyote uiwezayo kumchunguza na kuujua ukweli kwa sasa ili ulimalize tatizo mapema kuliko kunyamaza na kuendelea kuwa na manung`uniko nafsini kwako.[/color][/size][/font][/b]

ni mtazamo tu.

naunga mkono hoja.
Akikurupuka kufanya maamuzi anaweza kujutia baadae.
Niliwahi kusikia katika mahusiano ya mapenzi kuna kipindi ambacho huwa unamchukia mpenzi wako na hujisikii hata kuwa nae karibu. Kila atakachofanya unaona anakuboa tu.
Hicho huwa ni kipindi cha mpito tu.
Inawezekana huyo mpenzi wake yupo kwenye hicho kipindi.
 
Back
Top Bottom