Kama nia ni kupambana na ugaidi, kwanini watuhumiwa wa Uamsho wako nje kisha anashikiliwa Mbowe?

Mbowe gaidi wa kisiasa tu, Samia ameamua kumkomoa kwa kuleta ujuaji wake wa Katiba Mpya wakati yeye "mwenye nchi" alishasema mambo ya katiba yasubiri kwanza.

Ndio maana unaona anavyohangaika kuwapa vyeo majaji ili wamfichie hiyo aibu ya kumbambika Mbowe kesi.
 
Hata wao wanajua Mbowe anashikiliwa kutuliza Vuguvugu za katiba Mpya.
 
Kwani mbowe Ana mda gani tangu atuhumiwe na kuwekwa ndani ?

Wale walikaa miaka karibu Nane. Bila ya ushahidi was kuthibitisha ugaidi wao

Mbowe mashahidi wanaenda na kutoa ushahidi kua anahusika na ugaidi. Kama kweli tunataka katiba mpya tuanze kuifata na kuiheshimu iliopo. Mbowe aendelee kuenda mahakamani na wathibitishe Kama yy si gaidi. Ttz lipo wapi ?

Yy that mwaka hajafika mnaumia ? Wale walokaaa miaka yote jamii zao mmezipimaje ?

Tuache mahaba niue
 

wamekaa miaka 8 jela bila ushahidi wowote ndio maana waliachiwa sasa mwache mbowe akae miaka 8 ndio aachiwe tena mbowe kuna mashahidi wapo wanaomshtumu tofauti na uamsho hakutokea yeyote kuwashtumu kuwa ni magaidi waja aende jela mbowe miaka 60
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…