Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mikakati ilikua mizito ila wamefanikiwa kutoa Sita. Ulishawah kufikiria nini mipango yao kwa bunge jipia baada ya kumwaga 6? Je uhuru wa kweli Bungeni utakuwepo?
taratibu, Orait, what was your point again?inaelekea wewe badala ya kuabudu facts unaabudu watu. Kama unadhani 6 ni mtu pekee anayefaa kuwa supika mpeleke akawe supika wa nyumba yako.
Mikakati ilikua mizito ila wamefanikiwa kutoa Sita. Ulishawah kufikiria nini mipango yao kwa bunge jipia baada ya kumwaga 6? Je uhuru wa kweli Bungeni utakuwepo?
inaelekea wewe badala ya kuabudu facts unaabudu watu. Kama unadhani 6 ni mtu pekee anayefaa kuwa supika mpeleke akawe supika wa nyumba yako.
taratibu, Orait, what was your point again?