demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
Ni kosa kubwa sana hienda kuwahi kilifanya katika maisha yangu. Bila shaka inafaa nitandikwe viboko 10 na nikatiwe umeme wa Tanesco kwa muda wa siku 10 bila huruma yeyote.
Sijawahi kuona mtu anafunga mechi 4 "Mfululizo" tena sio za ASFC bali za CAFCL.
Sijawahi kuona mtu anautawala mchezo tena dhidi ya mpinzani wa kibabe (sio wapinzani wakina Nkana Rangera)
Sijawahi kuona consistance ya nidhamu kwa mchezaji wa kimataifa kama ya huju jamaa. Huwezi kusikia amepigana na wenzake kambini.
Jamaa anaufanya mpira vile anavyotaka yaani.
Ana pumzi wala huwezi kufikiria kumtoa dakika ya 75' kwenye mechi kubwa kama yule mwingine.
Dah nisameheni kama niliwahi kukufuru.