Kama niliwahi kumfananisha Pacome na Chama mnisamehe.

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
Ni kosa kubwa sana hienda kuwahi kilifanya katika maisha yangu. Bila shaka inafaa nitandikwe viboko 10 na nikatiwe umeme wa Tanesco kwa muda wa siku 10 bila huruma yeyote.

Sijawahi kuona mtu anafunga mechi 4 "Mfululizo" tena sio za ASFC bali za CAFCL.

Sijawahi kuona mtu anautawala mchezo tena dhidi ya mpinzani wa kibabe (sio wapinzani wakina Nkana Rangera)

Sijawahi kuona consistance ya nidhamu kwa mchezaji wa kimataifa kama ya huju jamaa. Huwezi kusikia amepigana na wenzake kambini.

Jamaa anaufanya mpira vile anavyotaka yaani.

Ana pumzi wala huwezi kufikiria kumtoa dakika ya 75' kwenye mechi kubwa kama yule mwingine.

Dah nisameheni kama niliwahi kukufuru.
 
..
20240224_213314.jpg
 
Sio peke yako , Utopolo wote huwa Kila msimu huchagua mchezaji mmoja wa Kumfananisha na Chama...!

Hivyo Bwan mdogo Usijali....! Misamaha kila msimu hutolewa juu ya huyu huyu Chama
 
Ni kosa kubwa sana hienda kuwahi kilifanya katika maisha yangu. Bila shaka inafaa nitandikwe viboko 10 na nikatiwe umeme wa Tanesco kwa muda wa siku 10 bila huruma yeyote.

Sijawahi kuona mtu anafunga mechi 4 "Mfululizo" tena sio za ASFC bali za CAFCL.

Sijawahi kuona mtu anautawala mchezo tena dhidi ya mpinzani wa kibabe (sio wapinzani wakina Nkana Rangera)

Sijawahi kuona consistance ya nidhamu kwa mchezaji wa kimataifa kama ya huju jamaa. Huwezi kusikia amepigana na wenzake kambini.

Jamaa anaufanya mpira vile anavyotaka yaani.

Ana pumzi wala huwezi kufikiria kumtoa dakika ya 75' kwenye mechi kubwa kama yule mwingine.

Dah nisameheni kama niliwahi kukufuru.
Tumpe heshima yake Chama, katenda makubwa pale Simba. Mimi ni Yanga ila kumbeza Chama hapana, ni mchezaji mkubwa kwenye ligi yetu kwa muda mrefu. Tumpe heshima yake Pacome ila tumpe heshima yake pia Mwamba wa Lusaka.
 
Kila kitabu na enzi yake...

Huwezi dharau uwezo wa Chama akiwa kwenye form kabisa, na sasa wamekuja watu wengine akiwemo huyo Pacome...
 
Jezi ya Yanga shs ngapi mazee
Tumpe heshima yake Chama, katenda makubwa pale Simba. Mimi ni Yanga ila kumbeza Chama hapana, ni mchezaji mkubwa kwenye ligi yetu kwa muda mrefu. Tumpe heshima yake Pacome ila tumpe heshima yake pia Mwamba wa Lusaka.
Heshima haziwezi kuwa sawa kwa wote.
 
Pacome Leo ameonesha utofauti Sana, jamaa akiwa na mpira Hana papara nafanya anavyotaka
 
Pacome Anaufanya Mpira Atakavyo Kwa Bongo Wachezaji Wa Namna Hii Ni Adimu Sana.

Kila La Kheri Dar Young Africans Kwa Hatua Inayofuata
 
Chama huyu anayelinganishwa na kila mchezaji hapo utopoloni, iko siku mtamlinganisha na Diarra.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom