Von Bismarck
JF-Expert Member
- Jul 11, 2018
- 3,890
- 8,647
Yaani kuna watu kuwa majirani ni balaa mtu ananunua eneo dogo kisha anavizia kuiba pembeni.Nafikiri hajui ile methali inasema ukiona kobe kainama kimya anatunga sheria sio kalala
wanavamia au wanauziwa mara mbili na madalali na watumishi wa serikali za mitaa wasiokua waaminifuWakishaona eneo mtu hujatembelea kwa mda wanaanza wizi [emoji2955]
Wote serikali za mitaa na wanunuzi wote baadhi yao ni weziwanavamia au wanauziwa mara mbili na madalali na watumishi wa serikali za mitaa wasiokua waaminifu
hahahahaa.Dawa yao ni kubomoa tu na jini unamtupia, wameumiza wajane na yatima wengi sana hao.
tweke mifumo ya kudhibiti tatizo hili.nifumo iliyopo ni mibovu sanaKwa nini ujenge nyumba kwenye kiwanja cha mtu mwingine bila ridhaa yake??
Halafu kiuze bei yake piga hivi bei ya kiwanja sokoni kwa sasa halafu jumlisha na bei ya jengo lililovunjwa hiyo jumla ya hiyo hesabu utakayopata ndio iwe bei ya kumuuzia minimum Sababu kakuletea usumbufu kiwanja chako hiyo ndio iwe bei ya kumuuziaNavunja nyumba halafu nakuuzia kiwanja.
Si ndio kubomoa kwenyewe sasa auUsibomoe, hamisha nyumba.
Unatoa kimoja kimoja unahamishia kiwanja kipya.
Maana ni Rahisi kuhamisha nyumba kuliko kiwanja.
Hawa jamaa hata viwanja vilivyopimwa wanapitia mkuu hasa kama kimekaa wazi muda mrefu, mfano kiwanja cha maremu Jaji.hahahaaaaa.kazi ipo kwa kweli.
serikaliinatakiwa ipime viwanja vyote vya makazi na kuviweka kwenye satelite na iwepo sheria kwamba unapotaka kukunua kiwanja ,nenda ofisi za ardhi uapte maelekezo .
DuhHawa jamaa hata viwanja vilivyopimwa wanapitia mkuu hasa kama kimekaa wazi muda mrefu, mfano kiwanja cha maremu Jaji. Rutihinda walitumia technique ya kumwabdikia barua afike ofisini na document zake ili hali ni marehemu alafu kwenye document inaonyesha hakuitikia wito na hapo mapekechee ndo yanafanyika either kiwanja kinakatwa katikati alafu anqpewa kibopa mwingine ambae anakuwa anqpewa jeuri na watu wa ardhi
Yaani hawana huruma hata na Jaji jamani mashetani hao.Hawa jamaa hata viwanja vilivyopimwa wanapitia mkuu hasa kama kimekaa wazi muda mrefu, mfano kiwanja cha maremu Jaji. Rutihinda walitumia technique ya kumwabdikia barua afike ofisini na document zake ili hali ni marehemu alafu kwenye document inaonyesha hakuitikia wito na hapo mapekechee ndo yanafanyika either kiwanja kinakatwa katikati alafu anqpewa kibopa mwingine ambae anakuwa anqpewa jeuri na watu wa ardhi
Muuzie yeyewakati mwingine busara huwa inaitajika unapotoa maamzi. mediation inaweza kutumika .kwani kuna faida gani unapovunja nyumba ya mtu hata kama kiwanja si chake? wewe mwambie kiwanja si chake then akikubari mwambia nunua kiwanja hiki.ziko taasisi zenye kuthaminisha viwanja na majumba .hivyo mhusika au mtuhumiwa ataweza kununua kiwanja hicho au nyumba hiyo kwa thamani halali iliyopangwa na wathaminishaji.unabomoa ghorofa ya mabilioni ili upate faida gani? kwanza serikali inakosa mapato kupitia ubomoaji huo kwa sababu let us say ni nyumba ya kibiashara pale watu walikuwa wanaingiza hela na serikali inapata kodi .sasa nyumba umevunja hapo serikali inapata nini
We bwege alikutuma nani kujenga kwenje kiwanja cha mtu? Huwezi kumpangia na kumlazimisha mtu namna ya kutumia mali yake. Ukifanya hivyo wenye pesa watavamia viwanja vya watu vilivyo kwenye site nzuri wakitegemea hiyo unaita mediation. Huo ni sawa na ubakajiwakati mwingine busara huwa inaitajika unapotoa maamzi. mediation inaweza kutumika .kwani kuna faida gani unapovunja nyumba ya mtu hata kama kiwanja si chake? wewe mwambie kiwanja si chake then akikubari mwambia nunua kiwanja hiki.ziko taasisi zenye kuthaminisha viwanja na majumba .hivyo mhusika au mtuhumiwa ataweza kununua kiwanja hicho au nyumba hiyo kwa thamani halali iliyopangwa na wathaminishaji.unabomoa ghorofa ya mabilioni ili upate faida gani? kwanza serikali inakosa mapato kupitia ubomoaji huo kwa sababu let us say ni nyumba ya kibiashara pale watu walikuwa wanaingiza hela na serikali inapata kodi .sasa nyumba umevunja hapo serikali inapata nini