Kama nimejenga nyumba kwenye kiwanja si changu, kunivunjia nyumba au kuniambia ninunue hicho kiwanja kipi bora?

Busara ni kwenda kununua kiwanja chako halali na sio kung'ag'ana na kudhulumu viwanja vya wanyonge kibabe 🐒

ukikutana na mbabe, wako unaanza kulialia na kutia hurumaaaaa 🐒
 
Kosa ni kosa tu haijalishi umejenga au haujajenga. Unapokuwa umeongia eneo la.mtu wewe ni trespasser tu.

Huwezi ukapata matokea safi yaliyojengwa kwenye jinai

Watanzania tujifunze kuheshimu sheria na kuepuka mambo ya mkato mkato.
 
Kuvunjiwa, ni upotofu kufanya kosa kisha kutaka huruma. Kesho tuulize ukimfumania na mkeo/mmeo chumbani kwako na best friend wako tutakushauri.
Sahihi mfano mtu aliyevamia kajenga nyumba ya kuishi mwenye kiwanja anataka kujenga shule ya sekondari lazima hiyo takataka iliyojengwa lazima iondoke haifai kwa Ramani ya ujenzi wa shule bila kujali ni ghorofa la ghorofa mbili au tatu lazima.la kuishi lazima lipigwe chini mwenye kiwanja chake aweke anachokitaka kwa ramani yake ya ujenzi wa sekondari yake
 
Tatizo hayajakukuta,


Hao wezi huwa wajeuri, wababe na wana vitisho plus

Then, huwa wanajifanya hawaogopi mamlaka, mtu anakwambia nenda popote


Sasa unaanzaje kukaa naye kuongea?

Halafu yule aliyevunjiwa ghorofa ni tapeli sugu wa viwanja, ana kesi kibao kwa hiyo lile ni fundisho
 
You mean unatoa bati, mbao, misumari ya mbao na bati, tofali, tiles nk if that is the case then ni sawa sawa na mtuhumiwa amekamatwa then aseme subirini nioge nibadilishe nguo ndio twende kituoni impossible
Nijuavyo,

Nyumba unaweza kuhamisha ukipewa muda, na uharibifu au HASARA ni ndogo sana kuliko kubomoa.
 
Anachokusudia, auziwe aliyeiba (aliyejenga)
 
Nijuavyo,

Nyumba unaweza kuhamisha ukipewa muda, na uharibifu au HASARA ni ndogo sana kuliko kubomoa.
mwenye kiwanja chake.ambaye kakisumbukia kupata haki anakitaka papo kwa papo baada ya haki yake kupata.Mtu kadumbuka miaka akupe muda tena hakuna hata sekunde hupewi

haki yake akipata hawezi kubali.kuahirisha hata dakika tapeli liisipate hata dakika kwenda kutafuta ujanja wa stop order nk ni kupeleka grader haraka kwa spidi ya mwewe na kulipiga chini jengo na grader jumba liwe kifusi
 
Kubomoa Si juu ya mwenye kiwanja,

Ni juu ya mahakamani na mvamizi,

Ndipo HOJA ya kuhamisha kistaarabu bila bughudha inapoibuka.
 
Kubomoa Si juu ya mwenye kiwanja,

Ni juu ya mahakamani na mvamizi,

Ndipo HOJA ya kuhamisha kistaarabu bila bughudha inapoibuka.
Iko pande mbili waweza vunja eneo mvamizi kavamia halafu mvamizi akatakiwa alipe gharama za uvunjaji wa hilo takataka lake kaweka kwenye kiwanja kisicho chake liwe jengo la ghorofa kumi au 20 anapelekewa invoice ya gharama ya kuvunja ulizogharimia ili liondoke uendelee na mambo uliyojipangia kwenye hicho kiwanja bila kusubiri yeye sababu kiwanja sio chake yeye ka trespass na kuweka takataka yake hilo ghorofa kwenye kiwanja chako kwake ghorofa kwako mwenye kiwanja ni takataka sawa tu na takataka za watu kutupia kwenye kiwanja chako waweza zoa kwa gharama zako ukawaburuza wakulipe gharama za kuondoa huo uchafu wao sababu huwezi endelea kuishi na uchafu kwenye kiwanja chako
 


duu .kumbe ni tapeli loh

basi sawa
 
ndiyo maana nikasema mediation.ikishindikana basi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…