ki2c
JF-Expert Member
- Jan 17, 2016
- 7,719
- 14,506
Inatakiwa anayetoa hilo wazo la kuhamisha nyumba,asifanywe chochote pasipo daktari kushibitisha kama yupo sawa.Hapo BUSARA ni wewe uhamishe nyumba Yako, Kisha umwachie kiwanja chake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inatakiwa anayetoa hilo wazo la kuhamisha nyumba,asifanywe chochote pasipo daktari kushibitisha kama yupo sawa.Hapo BUSARA ni wewe uhamishe nyumba Yako, Kisha umwachie kiwanja chake.
Uko sahihi Mkuu,tatizo la kuvamia Viwanja vya Watu limekuwa ni kubwa mno dawa ni aliyejenga kwenye kiwanja chako abomoe au unamtajia bei ya kumnyoosha ya kiwanja ili wengine wapate kujifunza jambo.Unabomoa ili iwe fundisho usije kurudia kosa!
Busara ni kwenda kununua kiwanja chako halali na sio kung'ag'ana na kudhulumu viwanja vya wanyonge kibabe 🐒Wakati mwingine busara huwa inaitajika unapotoa maamzi. mediation inaweza kutumika .kwani kuna faida gani unapovunja nyumba ya mtu hata kama kiwanja si chake?
Wewe mwambie kiwanja si chake then akikubari mwambia nunua kiwanja hiki.ziko taasisi zenye kuthaminisha viwanja na majumba, Hivyo mhusika au mtuhumiwa ataweza kununua kiwanja hicho au nyumba hiyo kwa thamani halali iliyopangwa na wathaminishaji.unabomoa ghorofa ya mabilioni ili upate faida gani?
Kwanza Serikali inakosa mapato kupitia ubomoaji huo kwa sababu let us say ni nyumba ya kibiashara pale watu walikuwa wanaingiza hela na serikali inapata kodi sasa nyumba umevunja hapo serikali inapata nini?
Kubomoa ni kuharibu, kuhamisha ni kutafuta faida katika nyumba inayohamishwa.Si ndio kubomoa kwenyewe sasa au
Kosa ni kosa tu haijalishi umejenga au haujajenga. Unapokuwa umeongia eneo la.mtu wewe ni trespasser tu.Wakati mwingine busara huwa inaitajika unapotoa maamzi. mediation inaweza kutumika .kwani kuna faida gani unapovunja nyumba ya mtu hata kama kiwanja si chake?
Wewe mwambie kiwanja si chake then akikubari mwambia nunua kiwanja hiki.ziko taasisi zenye kuthaminisha viwanja na majumba, Hivyo mhusika au mtuhumiwa ataweza kununua kiwanja hicho au nyumba hiyo kwa thamani halali iliyopangwa na wathaminishaji.unabomoa ghorofa ya mabilioni ili upate faida gani?
Kwanza Serikali inakosa mapato kupitia ubomoaji huo kwa sababu let us say ni nyumba ya kibiashara pale watu walikuwa wanaingiza hela na serikali inapata kodi sasa nyumba umevunja hapo serikali inapata nini?
You mean unatoa bati, mbao, misumari ya mbao na bati, tofali, tiles nk if that is the case then ni sawa sawa na mtuhumiwa amekamatwa then aseme subirini nioge nibadilishe nguo ndio twende kituoni impossibleKubomoa ni kuharibu, kuhamisha ni kutafuta faida katika nyumba inayohamishwa.
Sahihi mfano mtu aliyevamia kajenga nyumba ya kuishi mwenye kiwanja anataka kujenga shule ya sekondari lazima hiyo takataka iliyojengwa lazima iondoke haifai kwa Ramani ya ujenzi wa shule bila kujali ni ghorofa la ghorofa mbili au tatu lazima.la kuishi lazima lipigwe chini mwenye kiwanja chake aweke anachokitaka kwa ramani yake ya ujenzi wa sekondari yakeKuvunjiwa, ni upotofu kufanya kosa kisha kutaka huruma. Kesho tuulize ukimfumania na mkeo/mmeo chumbani kwako na best friend wako tutakushauri.
Tatizo hayajakukuta,Wakati mwingine busara huwa inaitajika unapotoa maamzi. mediation inaweza kutumika .kwani kuna faida gani unapovunja nyumba ya mtu hata kama kiwanja si chake?
Wewe mwambie kiwanja si chake then akikubari mwambia nunua kiwanja hiki.ziko taasisi zenye kuthaminisha viwanja na majumba, Hivyo mhusika au mtuhumiwa ataweza kununua kiwanja hicho au nyumba hiyo kwa thamani halali iliyopangwa na wathaminishaji.unabomoa ghorofa ya mabilioni ili upate faida gani?
Kwanza Serikali inakosa mapato kupitia ubomoaji huo kwa sababu let us say ni nyumba ya kibiashara pale watu walikuwa wanaingiza hela na serikali inapata kodi sasa nyumba umevunja hapo serikali inapata nini?
Nijuavyo,You mean unatoa bati, mbao, misumari ya mbao na bati, tofali, tiles nk if that is the case then ni sawa sawa na mtuhumiwa amekamatwa then aseme subirini nioge nibadilishe nguo ndio twende kituoni impossible
Anachokusudia, auziwe aliyeiba (aliyejenga)Sahihi mfano mtu aliyevamia kajenga nyumba ya kuishi mwenye kiwanja anataka kujenga shule ya sekondari lazima hiyo takataka iliyojengwa lazima iondoke haifai kwa Ramani ya ujenzi wa shule bila kujali ni ghorofa la ghorofa mbili au tatu lazima.la kuishi lazima lipigwe chini mwenye kiwanja chake aweke anachokitaka kwa ramani yake ya ujenzi wa sekondari yake
mwenye kiwanja chake.ambaye kakisumbukia kupata haki anakitaka papo kwa papo baada ya haki yake kupata.Mtu kadumbuka miaka akupe muda tena hakuna hata sekunde hupewiNijuavyo,
Nyumba unaweza kuhamisha ukipewa muda, na uharibifu au HASARA ni ndogo sana kuliko kubomoa.
Hongera sana kujielewaMimi sichukui hela yako nabomoa
Kubomoa Si juu ya mwenye kiwanja,mwenye kiwanja chake.ambaye kakisumbukia kupata haki anakitaka papo kwa papo baada ya haki yake kupata
haki yake akipata hawezi kubali.kuahirisha hata dakika tapeli liisipate hata dakika kwenda kutafuta ujanja wa stop order nk ni kupeleka grader haraka kwa spidi ya mwewe na kulipiga chini jengo na grader jumba liwe kifusi
Iko pande mbili waweza vunja eneo mvamizi kavamia halafu mvamizi akatakiwa alipe gharama za uvunjaji wa hilo takataka lake kaweka kwenye kiwanja kisicho chake liwe jengo la ghorofa kumi au 20 anapelekewa invoice ya gharama ya kuvunja ulizogharimia ili liondoke uendelee na mambo uliyojipangia kwenye hicho kiwanja bila kusubiri yeye sababu kiwanja sio chake yeye ka trespass na kuweka takataka yake hilo ghorofa kwenye kiwanja chako kwake ghorofa kwako mwenye kiwanja ni takataka sawa tu na takataka za watu kutupia kwenye kiwanja chako waweza zoa kwa gharama zako ukawaburuza wakulipe gharama za kuondoa huo uchafu wao sababu huwezi endelea kuishi na uchafu kwenye kiwanja chakoKubomoa Si juu ya mwenye kiwanja,
Ni juu ya mahakamani na mvamizi,
Ndipo HOJA ya kuhamisha kistaarabu bila bughudha inapoibuka.
Tatizo hayajakukuta,
Hao wezi huwa wajeuri, wababe na wana vitisho plus
Then, huwa wanajifanya hawaogopi mamlaka, mtu anakwambia nenda popote
Sasa unaanzaje kukaa naye kuongea?
Halafu yule aliyevunjiwa ghorofa ni tapeli sugu wa viwanja, ana kesi kibao kwa hiyo lile ni fundisho
ndiyo maana nikasema mediation.ikishindikana basi.Sahihi mfano mtu aliyevamia kajenga nyumba ya kuishi mwenye kiwanja anataka kujenga shule ya sekondari lazima hiyo takataka iliyojengwa lazima iondoke haifai kwa Ramani ya ujenzi wa shule bila kujali ni ghorofa la ghorofa mbili au tatu lazima.la kuishi lazima lipigwe chini mwenye kiwanja chake aweke anachokitaka kwa ramani yake ya ujenzi wa sekondari yake