KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Busara ni kutokujenga kwenye eneo lisilo la kwako.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mabeberu inabidi yaingie chimbo yaje na Teknolojia ya kujenga nyumba zinazohamishika ili waweze kutuokoa sisi tuliolala.Hapo BUSARA ni wewe uhamishe nyumba Yako, Kisha umwachie kiwanja chake.
Kuna factors nyingi zinaweza sababisha ukajikuta umejenga kwwnye kiwanja ambacho siyo chako.siyo lazima uwe tapeli.lakini pia kwa mfano mtu alipata building permity ,sasa unatoaje building permity bila kujiridhisha kama hati miliki ya kiwanja ni cha mwombaji.tunaitaji mfumo thabiti kuzuia usumbufu wa namna hiiBusara ni kutokujenga kwenye eneo lisilo la kwako.....
hahahaaa.hapo kusema kumuuza nyumba mwenye kiwanja kuna ukakasi kidogoBora ni wewe kuuziwa kiwanja au pia ukubali kuuza nyumba hiyo kwa mwenye kiwanja kwa bei yoyote atakayoweza.😁😁😁😁
Sema wengi hao wababe huwa wanajisahau kuwa serikali hubadilika na matapeli wanaokuwa kwenye system wanaoishirkiana nao kuna wakati hufika na wao mtandao hupotea kwa kustaafu ,kubadilishwa vituo kuja raisi mpyya ,serikali mpya uongozi mpya wenye misimamo kuanzia serikalini ,mahakamani ,wizara ya ardhi nkBora ni wewe kuuziwa kiwanja au pia ukubali kuuza nyumba hiyo kwa mwenye kiwanja kwa bei yoyote atakayoweza.😁😁😁😁
Mara nyingi watu migogoro ya ardhi hujenga uhasama kutokana na watu kutunishiana misuli......mpaka kufikia mwisho watu hukosa busara na kuamua kukomoana.........Kuna factors nyingi zinaweza sababisha ukajikuta umejenga kwwnye kiwanja ambacho siyo chako.siyo lazima uwe tapeli.lakini pia kwa mfano mtu alipata building permity ,sasa unatoaje building permity bila kujiridhisha kama hati miliki ya kiwanja ni cha mwombaji.tunaitaji mfumo thabiti kuzuia usumbufu wa namna hii
Tuelekeze bloangu sisi vibopa, wezi,mafisadi,wavamizi wa viwanja vilivyopo kwenye lokesheni nzuriNijuavyo,
Nyumba unaweza kuhamisha ukipewa muda, na uharibifu au HASARA ni ndogo sana kuliko kubomoa.
Bora ni kujenga nyumba kwenye kiwanja chako.Wakati mwingine busara huwa inaitajika unapotoa maamzi. mediation inaweza kutumika .kwani kuna faida gani unapovunja nyumba ya mtu hata kama kiwanja si chake?
Wewe mwambie kiwanja si chake then akikubari mwambia nunua kiwanja hiki.ziko taasisi zenye kuthaminisha viwanja na majumba, Hivyo mhusika au mtuhumiwa ataweza kununua kiwanja hicho au nyumba hiyo kwa thamani halali iliyopangwa na wathaminishaji.unabomoa ghorofa ya mabilioni ili upate faida gani?
Kwanza Serikali inakosa mapato kupitia ubomoaji huo kwa sababu let us say ni nyumba ya kibiashara pale watu walikuwa wanaingiza hela na serikali inapata kodi sasa nyumba umevunja hapo serikali inapata nini?
Kama ulikusudia kufanya dhuruma basi sahihi ni kupokonya nyumba apewe uliye kusudia kumdhurumuWakati mwingine busara huwa inaitajika unapotoa maamzi. mediation inaweza kutumika .kwani kuna faida gani unapovunja nyumba ya mtu hata kama kiwanja si chake?
Wewe mwambie kiwanja si chake then akikubari mwambia nunua kiwanja hiki.ziko taasisi zenye kuthaminisha viwanja na majumba, Hivyo mhusika au mtuhumiwa ataweza kununua kiwanja hicho au nyumba hiyo kwa thamani halali iliyopangwa na wathaminishaji.unabomoa ghorofa ya mabilioni ili upate faida gani?
Kwanza Serikali inakosa mapato kupitia ubomoaji huo kwa sababu let us say ni nyumba ya kibiashara pale watu walikuwa wanaingiza hela na serikali inapata kodi sasa nyumba umevunja hapo serikali inapata nini?
Kuuza ni willingness ya mmiliki wa kiwanja na si busara yakoWakati mwingine busara huwa inaitajika unapotoa maamzi. mediation inaweza kutumika .kwani kuna faida gani unapovunja nyumba ya mtu hata kama kiwanja si chake?
Wewe mwambie kiwanja si chake then akikubari mwambia nunua kiwanja hiki.ziko taasisi zenye kuthaminisha viwanja na majumba, Hivyo mhusika au mtuhumiwa ataweza kununua kiwanja hicho au nyumba hiyo kwa thamani halali iliyopangwa na wathaminishaji.unabomoa ghorofa ya mabilioni ili upate faida gani?
Kwanza Serikali inakosa mapato kupitia ubomoaji huo kwa sababu let us say ni nyumba ya kibiashara pale watu walikuwa wanaingiza hela na serikali inapata kodi sasa nyumba umevunja hapo serikali inapata nini?
Acha Janja Janja akajenge kwake. Kiwanja siuzi.Wakati mwingine busara huwa inaitajika unapotoa maamzi. mediation inaweza kutumika .kwani kuna faida gani unapovunja nyumba ya mtu hata kama kiwanja si chake?
Wewe mwambie kiwanja si chake then akikubari mwambia nunua kiwanja hiki.ziko taasisi zenye kuthaminisha viwanja na majumba, Hivyo mhusika au mtuhumiwa ataweza kununua kiwanja hicho au nyumba hiyo kwa thamani halali iliyopangwa na wathaminishaji.unabomoa ghorofa ya mabilioni ili upate faida gani?
Kwanza Serikali inakosa mapato kupitia ubomoaji huo kwa sababu let us say ni nyumba ya kibiashara pale watu walikuwa wanaingiza hela na serikali inapata kodi sasa nyumba umevunja hapo serikali inapata nini?
Watoto wadogo hawajui kuibiwa kiwanja.Tena hao wavamizi wa viwanja vya watu wanakuwaga na kauli chafu mimi kuna mmoja kamega kiwanja changu namsubiria amalize ujenzi ili nivunje vizuri 🤨
Yaani mtu upambane ukanunue kisha mtu aje kuchukua hii haiwezekani.Watoto wadogo hawajui kuibiwa kiwanja.
Ukibomolew ni kwasababu ulimuon mwenye kiwanja unamuweza ,atakufanya nini,ashitaki popote ,kiufupi anaye bomolewa ni kiburi jeuri apambane na hali yake.Wakati mwingine busara huwa inaitajika unapotoa maamzi. mediation inaweza kutumika .kwani kuna faida gani unapovunja nyumba ya mtu hata kama kiwanja si chake?