Labda kwa watu binafsi, lakini kwenye showroom sidhani. Kwa budget yako spacio iondoe kabisa kwenye list
kumbe spacio ni ghali eeh.....
Sema bei
Ebwana mi nahisi ukitembelea show roomz utapata gari nzuri tu, Ushauri wa bure kwanza kwenye Mayad ukichemka ndio ufikirie kununua use mkononi kwa mtu!!! Ni hayo tu!!!Naomba kujua kama nikiwa na milion 7, ninaweza kupata gari mojawapo kati ya hizi (duet, vitz, nissan march, corrola, spacio nk) kwenye yard za Dar es salaam. Au kuna Yard ya Magari ndani ya Dar ambapo wanauza magari kama hayo kwa bei ya milion 7? naomba mnujulishe tafadhali