Kama nina milion 7 naweza kupata gari ya kutembelea kwenye yard za bongo

Kama nina milion 7 naweza kupata gari ya kutembelea kwenye yard za bongo

Kig

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2012
Posts
1,076
Reaction score
458
Naomba kujua kama nikiwa na milion 7, ninaweza kupata gari mojawapo kati ya hizi (duet, vitz, nissan march, corrola, spacio nk) kwenye yard za Dar es salaam. Au kuna Yard ya Magari ndani ya Dar ambapo wanauza magari kama hayo kwa bei ya milion 7? naomba mnujulishe tafadhali
 
kwenye yard au showroom nina hakika unaweza kupata, vitz au corolla pia jaribu kuangalia kwa watu amba zimeshatumika.
 
Labda kwa watu binafsi, lakini kwenye showroom sidhani. Kwa budget yako spacio iondoe kabisa kwenye list
 
corolla, spacio hupati kabisa... na kwa zilizobaki ukibahatisha , otherwise tafuta kwa mtu zilizokumbia hapa bongo.
 
Hivi tanzania mnatembelea toyota tu??

U dont want to be different? Get something that last longer??!!!

Kuna Rover hapa... Good condition, PM sasa hivi.
 
Starlet na Nissan March unaweza kupata, tembelea show rooms.
 
Hivi tanzania mnatembelea toyota tu??

U dont want to be different? Get something that last longer??!!!

Kuna Rover hapa... Good condition, PM sasa hivi.

Sema bei
 
hivi humu jf mtu akisema ni pm huwa anamaanisha nini? je, yeye hawezi kum-pm huyo mtu straight badala ya kumwambia am-pm?
 
Naomba kujua kama nikiwa na milion 7, ninaweza kupata gari mojawapo kati ya hizi (duet, vitz, nissan march, corrola, spacio nk) kwenye yard za Dar es salaam. Au kuna Yard ya Magari ndani ya Dar ambapo wanauza magari kama hayo kwa bei ya milion 7? naomba mnujulishe tafadhali
Ebwana mi nahisi ukitembelea show roomz utapata gari nzuri tu, Ushauri wa bure kwanza kwenye Mayad ukichemka ndio ufikirie kununua use mkononi kwa mtu!!! Ni hayo tu!!!
 
We unataka mpya...ila mim nina COROLLA,bei 4.5mil,odometer 98,900,njoo na fundi wako aikague,bodi saafi,hautaiacha.
0764 468 469 DAR
 
Back
Top Bottom