Per week Tshs 20,000 kwa mwezi 80,000 na kwa Mwaka ni Tshs 960,000. inategemea na umri wako, itakuwa na maana sana kama una umri wa miaka 25 - 30.
Lets say una miaka 30 - tunza fedha hiyo fixed account kwa miaka 5.
960,000 x 5 = 4.8m. So ukifikaa 35 utakuwa na pesa arround 5m - Hapa sasa tafuta biashara ufanye ama jifunze mambo ya HISA kisha wekeza. By the time unafika miaka 40 utakuwa mbali.
By the time unafika 60 unaweza kuwa Mkurugenzi na ukifika 70 utazeeka kwa HESHIMA.