Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Ukizosoma amri kumi za biblia amri nne zinamuhusu mungu, amri sita zilizobaki ndio zinaratibu mahusiano na maisha ya binadamu kati yao.
Fikiria kama amri nne za mungu zinazomuhusu yeye zingeunganishwa kuwa amri moja kisha zingewekwa amri tatu zinazosema
1. Usifanye ubaguzi wa aina yoyote uwe wa rangi, kabila, dini au nchi.
2. Usishiriki biashara ya utumwa
3. Usifanye unyonyaji wa kiuchumi
Fikiria jinsi maisha ya binadamu yangekuwa bora zaidi kwa kuwepo amri hizo katika Biblia.