Kama Ningekuwa JK

Na kubembea ungemuachia nani????
Acha kuota ndoto za alinacha mkuu
 
..............ningejiuzulu urais na kuwakabidhi wenye uwezo.
 
ningekuwa mimi Rais ningemaliza Umasikini,njaa,ujinga wa kutokusoma,Ufisadi,Rushwa, na ujambazi nchini.Ningehakikisha kila mwananchi anapata maji Safi,umeme na Masuala mazima ya afya kwa kila mwananchi ningeanzia kule Vijijini.
 
ningekuwa mimi Rais ningemaliza Umasikini,njaa,ujinga wa kutokusoma,Ufisadi,Rushwa, na ujambazi nchini.Ningehakikisha kila mwananchi anapata maji Safi,umeme na Masuala mazima ya afya kwa kila mwananchi ningeanzia kule Vijijini.

Asante Mkuu. Wakulima Kwanza.
 
siko tayari kabisa kuwa JEIKEI!.....
 
upupu mtupu kwako wewe maendeleo ni ICT tu nafikieri dhima nzima ya maendeleo huijui na mawazo yako butu yasiotekelezeka..
maendeleo ya kweli yatapatikana kwa kuinvest kwenye multidisciplinary education ya vijana wetu ambayo itakuwa well endorsed na uhalisia wa mazingira ya kitanzania,.
 
Kama ningekuwa JK ningeenda kubembea na kuogelea Wet and Wild
 
Nafikiri unajaribu kutuonyesha kuwa kama viongozi wetu wangekuwa wnaweka kipaumbele kwenye elimu tungekuwa mbali sana. Maana elimu ndiyo kila kitu. Kama unataka maendeleo lazima watu wako wawe competent kielimu. Na iwe ni nchi nzima siyo baadhi ya mikoa tu ndiyo inakuwa na vituo bora vya elimu au vyuo.
 
Anzisha chama cha siasa, why JK...chama chake haina mpango huo kwenye manifesto yao!

Mambo hayo waweza kufanya bila hata ya kuwa JK, watu mnapenda position, na kila wakati mnafikiri ni powers ambazo hamkuwa nazo ndio maana hamuwezi kufanya kile mnachofikiri kukifanya

nafikiri anza tu mkuu unaweza kufanya bila kuwa JK
 


Safi Sana Mugerezi. Natumaini wamekusoma na wamekusikia.
 

Leadership is easier said than done. it is a constant struggle between compromising and prioritizing. You might be kept in the position JK is now and still do nothing. I guarantee you that if you were given the chance you wouldn't accomplish more than half of the things in this list and those you do accomplish you won't do so with the same degree of success you hope to achieve.
 
ningekuwa mimi Rais ningemaliza Umasikini,njaa,ujinga wa kutokusoma,Ufisadi,Rushwa, na ujambazi nchini.Ningehakikisha kila mwananchi anapata maji Safi,umeme na Masuala mazima ya afya kwa kila mwananchi ningeanzia kule Vijijini.
Ungeacha kunyanyua chuma??muda wa kwenda Gym ungeupata wapi
 
Mkuu,

Tulijaribu mambo yanayofanana na haya wakati wa Mwalimu, matokeo yanaeleweka.
hatuishi kwa historia za mzmbo ya kale hebu badirika, mwalimu alikuwa na nchi yenye wajinga wengi sana, walitoka kwenye jua lie litelemke mamaaa....aiya iya iyaaa iya mama, wakaja kwenye zidumu fikra za mwenyekiti,.... na ujinga mwingi tu....sasa ni nchi ya watu wa,... kwanin? kivipi? iweje, n.k
 
..ndoto za alinacha.....
ndivyo tulivo umbwa watu wachoyo wa fikra, mwenzetu anatoa mawazo tena bila vat, then tunamkatisha tamaa, ndoto maana yake,,,,,.....any way i'm not sure na uwezo wa akili zako
 

Ni kweli urais ni kazi ngumu. Lakini wengine wamewezaje? wana nini ambacho sisi hatuna?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…