Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ningekuwa mimi Rais ningemaliza Umasikini,njaa,ujinga wa kutokusoma,Ufisadi,Rushwa, na ujambazi nchini.Ningehakikisha kila mwananchi anapata maji Safi,umeme na Masuala mazima ya afya kwa kila mwananchi ningeanzia kule Vijijini.
Good one.......great thinker!!siko tayari kabisa kuwa JEIKEI!.....
Nafikiri unajaribu kutuonyesha kuwa kama viongozi wetu wangekuwa wnaweka kipaumbele kwenye elimu tungekuwa mbali sana. Maana elimu ndiyo kila kitu. Kama unataka maendeleo lazima watu wako wawe competent kielimu. Na iwe ni nchi nzima siyo baadhi ya mikoa tu ndiyo inakuwa na vituo bora vya elimu au vyuo.
Wakuu,
Kama ningekuwa JK pamoja na mambo mengine ningefanya yafuatayo:
1. Ningejenga Multi-purpose Science Laboratories kila wilaya.
2. Ningeongea na vituo vyote vya televisheni hapa nchini ili kila siku kuanzia saa mbili asubuhi mpaka saa 6 usiku, kwa kushirikiana na Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi na ofisi ya waziri Mkuu, wawe na vipindi vya elimu tu vikilenga zaidi wanafunzi wetu katika ngazi mbalimbali za elimu na Watanzania kwa ujumla wetu kwa ajili ya kutupatia ujuzi katika stadi mbalimbali za maisha.
3. Ningehakikisha kila mwajeshi hapa nchini anakuwa mtaalam mzuri sana wa ICT na Computer kabla ya mwisho wa mwaka 2015.
4. Ningelikabidhi rasmi jeshi letu kazi ya kuhakikisha kuwa barabara zetu zote zinapitika mwaka mzima.
5. Ningefunga VIDEO CONFERENCING FACILITIES katika kila wilaya na tarafa hapa nchini kabla ya mwisho wa mwaka 2013.
6. Ningejenga National Science Retreat and Research Centre pale Butiama kwa angalau gharama ya shilingi bilioni 20.
7. Ningeibadilisha Pemba na kuifanya kuwa kitovu za maendeleo ya ICT hapa nchini na Afrika Mashariki kwa ujumla ndani ya miaka mitano. Hapa ningeanza na Pemba ICT University.
8. Ningewashawishi viongozi wa Afrika Mashariki kuanzisha kwa pamoja shule za Sayansi za Afrika Mashariki lengo likiwa ni kujenga angalau shule 50 za namna hiyo kila mwaka kwa mgawanyo wa shule 10 kila mwaka kwa kila nchi.
9. Ningependekeza ndani ya Chuo Kikuu cha Dodoma kujengwe EAST AFRICA PhD CENTRE na pia kuanzisha EAST AFRICA PHD SCHOLARSHIP FUND ikiwa na uwezo wa kufadhili angalau Wana Afrika Mashariki wasiopungua 5000 kwa wakati mmoja. Asilimia angalau 70 iwe kwa ajili ya PhD za Sayansi na Teknolojia.
10. Ningefuta ada na michango mingine yote kwa shule za sekondari za Serikali hapa nchini.
11. Ningekopa toka mifuko yetu ya hifadhi ya jamii angalau shilingi bilioni 200 kila mwaka na kujenga High Schools za kisasa angalau 200 kila mwaka na nyingi zikiwa kwa ajili ya combinations za PCM na PCB.
Nawasilisha.
Ungeacha kunyanyua chuma??muda wa kwenda Gym ungeupata wapiningekuwa mimi Rais ningemaliza Umasikini,njaa,ujinga wa kutokusoma,Ufisadi,Rushwa, na ujambazi nchini.Ningehakikisha kila mwananchi anapata maji Safi,umeme na Masuala mazima ya afya kwa kila mwananchi ningeanzia kule Vijijini.
hatuishi kwa historia za mzmbo ya kale hebu badirika, mwalimu alikuwa na nchi yenye wajinga wengi sana, walitoka kwenye jua lie litelemke mamaaa....aiya iya iyaaa iya mama, wakaja kwenye zidumu fikra za mwenyekiti,.... na ujinga mwingi tu....sasa ni nchi ya watu wa,... kwanin? kivipi? iweje, n.kMkuu,
Tulijaribu mambo yanayofanana na haya wakati wa Mwalimu, matokeo yanaeleweka.
ndivyo tulivo umbwa watu wachoyo wa fikra, mwenzetu anatoa mawazo tena bila vat, then tunamkatisha tamaa, ndoto maana yake,,,,,.....any way i'm not sure na uwezo wa akili zako..ndoto za alinacha.....
Leadership is easier said than done. it is a constant struggle between compromising and prioritizing. You might be kept in the position JK is now and still do nothing. I guarantee you that if you were given the chance you wouldn't accomplish more than half of the things in this list and those you do accomplish you won't do so with the same degree of success you hope to achieve.