Kama Ningekuwa JK

Kama Ningekuwa JK

TANURU

Senior Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
162
Reaction score
9
Wakuu,

Kama ningekuwa JK pamoja na mambo mengine ningefanya yafuatayo:

1. Ningejenga Multi-purpose Science Laboratories kila wilaya.

2. Ningeongea na vituo vyote vya televisheni hapa nchini ili kila siku kuanzia saa mbili asubuhi mpaka saa 6 usiku, kwa kushirikiana na Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi na ofisi ya waziri Mkuu, wawe na vipindi vya elimu tu vikilenga zaidi wanafunzi wetu katika ngazi mbalimbali za elimu na Watanzania kwa ujumla wetu kwa ajili ya kutupatia ujuzi katika stadi mbalimbali za maisha.

3. Ningehakikisha kila mwajeshi hapa nchini anakuwa mtaalam mzuri sana wa ICT na Computer kabla ya mwisho wa mwaka 2015.

4. Ningelikabidhi rasmi jeshi letu kazi ya kuhakikisha kuwa barabara zetu zote zinapitika mwaka mzima.

5. Ningefunga VIDEO CONFERENCING FACILITIES katika kila wilaya na tarafa hapa nchini kabla ya mwisho wa mwaka 2013.

6. Ningejenga National Science Retreat and Research Centre pale Butiama kwa angalau gharama ya shilingi bilioni 20.

7. Ningeibadilisha Pemba na kuifanya kuwa kitovu za maendeleo ya ICT hapa nchini na Afrika Mashariki kwa ujumla ndani ya miaka mitano. Hapa ningeanza na Pemba ICT University.

8. Ningewashawishi viongozi wa Afrika Mashariki kuanzisha kwa pamoja shule za Sayansi za Afrika Mashariki lengo likiwa ni kujenga angalau shule 50 za namna hiyo kila mwaka kwa mgawanyo wa shule 10 kila mwaka kwa kila nchi.

9. Ningependekeza ndani ya Chuo Kikuu cha Dodoma kujengwe EAST AFRICA PhD CENTRE na pia kuanzisha EAST AFRICA PHD SCHOLARSHIP FUND ikiwa na uwezo wa kufadhili angalau Wana Afrika Mashariki wasiopungua 5000 kwa wakati mmoja. Asilimia angalau 70 iwe kwa ajili ya PhD za Sayansi na Teknolojia.

10. Ningefuta ada na michango mingine yote kwa shule za sekondari za Serikali hapa nchini.

11. Ningekopa toka mifuko yetu ya hifadhi ya jamii angalau shilingi bilioni 200 kila mwaka na kujenga High Schools za kisasa angalau 200 kila mwaka na nyingi zikiwa kwa ajili ya combinations za PCM na PCB.

Nawasilisha.
 
East African PhD Research centre ijengwe Dodoma? haahahha
 
Mkuu,
Mawazo yako ni mazuri ila naona kama si practical.
Ni ndoto nzuri lakini.
 
Mawazoo mazuri ila nashangaa hata washauri wa JK hawawazii kama wewe...kwa nini????????
 
mawazo mazuri lakini si paractical.
 
You must be kidding!
 
Life is not that easy.....hata wana-mtandao walikuwa na ndoto nyingi kupita hizo
 
You would best fit as a minister for eductaion, science and technology sio president
 
Mkuu,

Tulijaribu mambo yanayofanana na haya wakati wa Mwalimu, matokeo yanaeleweka.
 
Mawazo yako mazuri lakini problem wahusika sasa wako bize na uchaguzi hawatakusikiliza mheshimiwa Mkulu mtarajiwa uchaguzi ukiisha watakuwa bize kulipa fadhila na kumalizia vijumba vyao.
 
Ndiyo maana you are not JK, you think too much!!!!!!
 
Wakuu,

Kama ningekuwa JK pamoja na mambo mengine ningefanya yafuatayo:

1. Ningejenga Multi-purpose Science Laboratories kila wilaya.

2. Ningeongea na vituo vyote vya televisheni hapa nchini ili kila siku kuanzia saa mbili asubuhi mpaka saa 6 usiku, kwa kushirikiana na Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi na ofisi ya waziri Mkuu, wawe na vipindi vya elimu tu vikilenga zaidi wanafunzi wetu katika ngazi mbalimbali za elimu na Watanzania kwa ujumla wetu kwa ajili ya kutupatia ujuzi katika stadi mbalimbali za maisha.

3. Ningehakikisha kila mwajeshi hapa nchini anakuwa mtaalam mzuri sana wa ICT na Computer kabla ya mwisho wa mwaka 2015.

4. Ningelikabidhi rasmi jeshi letu kazi ya kuhakikisha kuwa barabara zetu zote zinapitika mwaka mzima.

5. Ningefunga VIDEO CONFERENCING FACILITIES katika kila wilaya na tarafa hapa nchini kabla ya mwisho wa mwaka 2013.

6. Ningejenga National Science Retreat and Research Centre pale Butiama kwa angalau gharama ya shilingi bilioni 20.

7. Ningeibadilisha Pemba na kuifanya kuwa kitovu za maendeleo ya ICT hapa nchini na Afrika Mashariki kwa ujumla ndani ya miaka mitano. Hapa ningeanza na Pemba ICT University.

8. Ningewashawishi viongozi wa Afrika Mashariki kuanzisha kwa pamoja shule za Sayansi za Afrika Mashariki lengo likiwa ni kujenga angalau shule 50 za namna hiyo kila mwaka kwa mgawanyo wa shule 10 kila mwaka kwa kila nchi.

9. Ningependekeza ndani ya Chuo Kikuu cha Dodoma kujengwe EAST AFRICA PhD CENTRE na pia kuanzisha EAST AFRICA PHD SCHOLARSHIP FUND ikiwa na uwezo wa kufadhili angalau Wana Afrika Mashariki wasiopungua 5000 kwa wakati mmoja. Asilimia angalau 70 iwe kwa ajili ya PhD za Sayansi na Teknolojia.

10. Ningefuta ada na michango mingine yote kwa shule za sekondari za Serikali hapa nchini.

11. Ningekopa toka mifuko yetu ya hifadhi ya jamii angalau shilingi bilioni 200 kila mwaka na kujenga High Schools za kisasa angalau 200 kila mwaka na nyingi zikiwa kwa ajili ya combinations za PCM na PCB.

Nawasilisha.

Ndani ya system hii kama ungekuwa JK na mawazo hayo hapo juu unadhani ungefikia hapo JK "really" alipo?Some stuff dont go hand to hand,too cold to hold and too hot to handle.

Kasome signature ya Josh Michael you'll then c where im coming from.
 
yani kama unampigia mbuzi gitaa vile kwa serikali yetu na aka kauchaguzi sana sana watatumia hayo kama gea ya kuchota kura kwa wananchi wakishapata nduki
 
Wakuu,

Ni ngumu. Lakini bila mawazo mazito ya namna hiyo na mengineyo na utekelezaji wa dhati hakuna njia ya kutoka hapa tulipo. Sana sana tutakuwa tukisubiri miujiza ambayo bahati mbaya sana haitakaa itokee.

Nyongeza nyingine ni kuhakikisha SHAMBA DARASA linakuwepo katika kila kijiji.
 
Mawazo mazuri hila kama kawaida yetu Serikali kuu haina bajeti ya kutosha katika Elimu. Kwa kifupi pesa ya kufanya mambo kama hayo hakuna, na itachukua miaka mingi kuwepo, kuna pesa za siasa tu inayosaidia kuwapata viongozi wetu.
 
Wakuu,

Kama ningekuwa JK pamoja na mambo mengine ningefanya yafuatayo:

1. Ningejenga Multi-purpose Science Laboratories kila wilaya.
Ili iwe je?

2. Ningeongea na vituo vyote vya televisheni hapa nchini ili kila siku kuanzia saa mbili asubuhi mpaka saa 6 usiku, kwa kushirikiana na Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi na ofisi ya waziri Mkuu, wawe na vipindi vya elimu tu vikilenga zaidi wanafunzi wetu katika ngazi mbalimbali za elimu na Watanzania kwa ujumla wetu kwa ajili ya kutupatia ujuzi katika stadi mbalimbali za maisha.
Kwa maana hiyo vipindi vingine vionekane tu wakati usiku wa manane? kwani sote ni wanafunzi? je, tutaishi kwa mkate tu?

3. Ningehakikisha kila mwajeshi hapa nchini anakuwa mtaalam mzuri sana wa ICT na Computer kabla ya mwisho wa mwaka 2015.
Ili wafanye nini? Kwanini kwenye hiyo fani? risasi zinatumwa kwa njia ya mtandao siku hizi?

4. Ningelikabidhi rasmi jeshi letu kazi ya kuhakikisha kuwa barabara zetu zote zinapitika mwaka mzima.
Kwanini usilikabidhi jeshi kwa wizara ya ujenzi kwanza?

5. Ningefunga VIDEO CONFERENCING FACILITIES katika kila wilaya na tarafa hapa nchini kabla ya mwisho wa mwaka 2013. Hizo ajili ya nini? Hakuna madawati, madarasa ya p/s ni ya makuti, zahanati hakuna, shule za voda faster kibao zisizo na mbele wala nyuma

6. Ningejenga National Science Retreat and Research Centre pale Butiama kwa angalau gharama ya shilingi bilioni 20.
Hizo bilioni 20 umezipataje na ni kwanini butiama?

7. Ningeibadilisha Pemba na kuifanya kuwa kitovu za maendeleo ya ICT hapa nchini na Afrika Mashariki kwa ujumla ndani ya miaka mitano. Hapa ningeanza na Pemba ICT University.
Kwanini pemba na sio ukerewe?

8. Ningewashawishi viongozi wa Afrika Mashariki kuanzisha kwa pamoja shule za Sayansi za Afrika Mashariki lengo likiwa ni kujenga angalau shule 50 za namna hiyo kila mwaka kwa mgawanyo wa shule 10 kila mwaka kwa kila nchi.

Kwani nchi zote hizi zinalingana? je mahitaji yake na mapato ni sawa? Chanzo cha mapato ni kipi?

9. Ningependekeza ndani ya Chuo Kikuu cha Dodoma kujengwe EAST AFRICA PhD CENTRE na pia kuanzisha EAST AFRICA PHD SCHOLARSHIP FUND ikiwa na uwezo wa kufadhili angalau Wana Afrika Mashariki wasiopungua 5000 kwa wakati mmoja. Asilimia angalau 70 iwe kwa ajili ya PhD za Sayansi na Teknolojia.
Kwani tunahitaji wataalamu wangapi wa level ya PhD kwa maendeleo yetu? Kwanini 5000 kwa mkupuo?

10. Ningefuta ada na michango mingine yote kwa shule za sekondari za Serikali hapa nchini.

Hujaonyesha kuwa mapato yatapatikana wapi?

11. Ningekopa toka mifuko yetu ya hifadhi ya jamii angalau shilingi bilioni 200 kila mwaka na kujenga High Schools za kisasa angalau 200 kila mwaka na nyingi zikiwa kwa ajili ya combinations za PCM na PCB.

Hakuna mpango wa kurudisha deni? (kila mwaka?)

Nawasilisha.

Ndio maana huwezi kuwa JK, wala kuwa na cheo cha JK.
 
Ninngebwaga manyanga na kutugombea awamu ya pili.
 
Nono,

Asante kwa changamoto zako. Naomba niseme kuwa hayo yote niliyoyapendekeza yanawezekana bila tatizo. Tatizo letu kubwa ni rushwa, ufisadi na vipaumbele visivyo sahihi katika matumizi yetu kama taifa.

Chambua vizuri bajeti za wizara zetu na ofisi ya PM na ile ya Rais utanielewa ninachosema.

Bajeti ya ofisi ya PM kwa mwaka huu wa fedha ni shilingi trillion 2.63. Naomba nikwambie kuwa unaweza kupunguza shilingi bilioni 394.5 (15%) toka katika bajeti ya PMO na kuwekeza kwenye maeneo niliyoyapendeza bila kuathiri ufanisi katika ofisi ya Waziri Mkuu.

Hivi ni lini Serikali yetu imekuja na mikakati thabiti ya kupunguza gharama za uendeshaji wa Serikali? ILI FEDHA ZITAKAZO OKOLEWA TUZIWEKEZE KWA UFANISI KATIKA KILIMO, MAJI, NISHATI, ELIMU, NA SAYANSI NA TEKNOLOJIA.

Nasikitika kuwa safari yetu bado ni ndefu sana.
 
Ni vyema Tanuru,
Lakini pale unapoanza kuweka mikakati na malengo siku zote unaanza kwa kufanya tathmini ya kina kuwa nini kilichotufanya tukawa hapa tulipo, na nini kifanyike ili tuweze kutoka. Vinginezo hizo ulizoeleza awali zitaishia kuwa ngonjera kama zile JK alizoimba za "maisha bora kwa kila mtanzania" bila kusema kuwa atafanya nini ili yawe bora. Mwisho wake baada ya kupata nafasi huo msamiati wa maisha bora hautaki tena.
 
Ni kweli. Kwa mwendo tulionao labda miujiza ndiyo itatutoa hapa tulipo.
 
Back
Top Bottom