KARLO MWILAPWA
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 3,250
- 5,509
Uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka jana CCM ilishinda kwa 98%😁Binafsi Sina mashaka na uwezo wa CCM katika kushinda , ina uwezo mkubwa wa kushindana na kushinda tena kwa kishindo hivyo kama siku moja ningebahatika kuwa meneja wa kampeni za mgombea wa urais wa CCM ningemhakikishia USHINDI wa asilimia 90+ na angeupata kwa sababu:
1. CCM Ina wagombea wenye uwezo mkubwa wa kushindana na kushinda. Mgombea yeyote anayeletwa na CCM ana uwezo binafsi ambayo ndio sifa kuu katika ushindi nami ningeitumia sifa yake kuwezesha USHINDI wa kishindo.
2. CCM kinaamini katika ushindi na kinawekeza sana katika hilo kuanzia utekelezaji wa ahadi zake mpaka usimamizi ulio Bora kitu ambacho ni kipimo cha ushindi.
3. Huwa natamani kuona matokeo makubwa hivyo hii pia ni sehemu ya kuwezesha USHINDI wa kishindo kwa CCM.
4. Ningeinadi ilani ya uchaguzi ya CCM kwa namna ya kipekee yenye kushawishi.
5. Ningefanya kampeni shirikishi ambapo vyama vyote na makundi yote yangeshirikishwa na kutoa mawazo yao
Kwanini isiwe 100 kabisa? Mna kila kitu hadi matokeo kabla ya uchaguziBinafsi Sina mashaka na uwezo wa CCM katika kushinda , ina uwezo mkubwa wa kushindana na kushinda tena kwa kishindo hivyo kama siku moja ningebahatika kuwa meneja wa kampeni za mgombea wa urais wa CCM ningemhakikishia USHINDI wa asilimia 90+ na angeupata kwa sababu:
1. CCM Ina wagombea wenye uwezo mkubwa wa kushindana na kushinda. Mgombea yeyote anayeletwa na CCM ana uwezo binafsi ambayo ndio sifa kuu katika ushindi nami ningeitumia sifa yake kuwezesha USHINDI wa kishindo.
2. CCM kinaamini katika ushindi na kinawekeza sana katika hilo kuanzia utekelezaji wa ahadi zake mpaka usimamizi ulio Bora kitu ambacho ni kipimo cha ushindi.
3. Huwa natamani kuona matokeo makubwa hivyo hii pia ni sehemu ya kuwezesha USHINDI wa kishindo kwa CCM.
4. Ningeinadi ilani ya uchaguzi ya CCM kwa namna ya kipekee yenye kushawishi.
5. Ningefanya kampeni shirikishi ambapo vyama vyote na makundi yote yangeshirikishwa na kutoa mawazo yao
10% tu hutoboi bila wizi wa kuraKama ningekuwa kampeni meneja wa mgombea wa CCM ningehakikisha USHINDI wa asilimia 90+
Binafsi Sina mashaka na uwezo wa CCM katika kushinda , ina uwezo mkubwa wa kushindana na kushinda tena kwa kishindo hivyo kama siku moja ningebahatika kuwa meneja wa kampeni za mgombea wa urais wa CCM ningemhakikishia USHINDI wa asilimia 90+ na angeupata kwa sababu:
1. CCM Ina wagombea wenye uwezo mkubwa wa kushindana na kushinda. Mgombea yeyote anayeletwa na CCM ana uwezo binafsi ambayo ndio sifa kuu katika ushindi nami ningeitumia sifa yake kuwezesha USHINDI wa kishindo.
2. CCM kinaamini katika ushindi na kinawekeza sana katika hilo kuanzia utekelezaji wa ahadi zake mpaka usimamizi ulio Bora kitu ambacho ni kipimo cha ushindi.
3. Huwa natamani kuona matokeo makubwa hivyo hii pia ni sehemu ya kuwezesha USHINDI wa kishindo kwa CCM.
4. Ningeinadi ilani ya uchaguzi ya CCM kwa namna ya kipekee yenye kushawishi.
5. Ningefanya kampeni shirikishi ambapo vyama vyote na makundi yote yangeshirikishwa na kutoa mawazo yao
Majiziii ya kura kwa mjibu wa nauyeUchaguzi ni namba na CCM siku zote inahakikisha namba yake ni nzuri
INEC tayari wanayo matokeo atashinda kwa 99.9 %, ndiyo maana wote wenye akili timamu hawatapoteza muda wao kupiga kura.Binafsi Sina mashaka na uwezo wa CCM katika kushinda , ina uwezo mkubwa wa kushindana na kushinda tena kwa kishindo hivyo kama siku moja ningebahatika kuwa meneja wa kampeni za mgombea wa urais wa CCM ningemhakikishia USHINDI wa asilimia 90+ na angeupata kwa sababu:
1. CCM Ina wagombea wenye uwezo mkubwa wa kushindana na kushinda. Mgombea yeyote anayeletwa na CCM ana uwezo binafsi ambayo ndio sifa kuu katika ushindi nami ningeitumia sifa yake kuwezesha USHINDI wa kishindo.
2. CCM kinaamini katika ushindi na kinawekeza sana katika hilo kuanzia utekelezaji wa ahadi zake mpaka usimamizi ulio Bora kitu ambacho ni kipimo cha ushindi.
3. Huwa natamani kuona matokeo makubwa hivyo hii pia ni sehemu ya kuwezesha USHINDI wa kishindo kwa CCM.
4. Ningeinadi ilani ya uchaguzi ya CCM kwa namna ya kipekee yenye kushawishi.
5. Ningefanya kampeni shirikishi ambapo vyama vyote na makundi yote yangeshirikishwa na kutoa mawazo yao
Kwa sasa hakuna chama kitakcho ipiku CCM.Kwa kuiba kura lakini na sio vinginevyo.
Wapi hukoBinafsi Sina mashaka na uwezo wa CCM katika kushinda , ina uwezo mkubwa wa kushindana na kushinda tena kwa kishindo hivyo kama siku moja ningebahatika kuwa meneja wa kampeni za mgombea wa urais wa CCM ningemhakikishia USHINDI wa asilimia 90+ na angeupata kwa sababu: