"Through every night, there's a brighter day after that" - 2Pac ShakurKwa nchii hii, anaweza kuji uzuru na bado uchaguzi usifanyike akateuliwa mtu kushika wadhifa huo, na bado watu wasifanye chochote.
Nchi ina wenyewee hii, na wenyewe wapo, ila sio sisi.
Ni ajabu mno upinzani kujaa kwenye drama za kitoto kama hizo , once sisiem always sisiemWote lao moja hao.
Wanatufanyia P.A wananchi.
nonsense,Makamu wa Rais akijiuzulu tutapata fursa ya kurudia uchaguzi mkuu, na hapo ndo tutawabana tufanye free and fair election, na hapo ndo tutamuondosha huyo anayemtetea
Mzee wangu Nchimbi huna hasira?
Rais wa nchi amesafiri hatujui mmeagana vip maana hatujakuona airport ukimsindikiza,
Makamu wa Rais ni cheo kikubwa,
Makamu wa Rais sio mteule, yupo pale Kwa kuchaguliwa
Haiwezekani mbunge kidagaa amuite kiongozi wa juu kitaifa Yuda
Anamwita Yuda kuwa amesaliti nini?
Nani? Amesaliti Kwa nani?
Huyo mbunge Uyuda wa Makamu wa Rais ameujuaje?
Mbunge kutoka Zanzibar anamdhihaki makamu wa Rais kutoka Tanganyika kuwa anaenda kanisani ( udini). Sasa kama Mkristo ataendaje kufanya ibada muskitini anakotaka aende?
Nchimbi tafakari Kwa kina utoe maamzi
Kwani we umejuaje kuwa huyo mbunge alivyosema yuda,ana maana ya imma?Makamu wa Rais akijiuzulu tutapata fursa ya kurudia uchaguzi mkuu, na hapo ndo tutawabana tufanye free and fair election, na hapo ndo tutamuondosha huyo anayemtetea
Mzee wangu Nchimbi huna hasira?
Rais wa nchi amesafiri hatujui mmeagana vip maana hatujakuona airport ukimsindikiza,
Makamu wa Rais ni cheo kikubwa,
Makamu wa Rais sio mteule, yupo pale Kwa kuchaguliwa
Haiwezekani mbunge kidagaa amuite kiongozi wa juu kitaifa Yuda
Anamwita Yuda kuwa amesaliti nini?
Nani? Amesaliti Kwa nani?
Huyo mbunge Uyuda wa Makamu wa Rais ameujuaje?
Mbunge kutoka Zanzibar anamdhihaki makamu wa Rais kutoka Tanganyika kuwa anaenda kanisani ( udini). Sasa kama Mkristo ataendaje kufanya ibada muskitini anakotaka aende?
Nchimbi tafakari Kwa kina utoe maamzi
Mtu wa serikalini ambaye anakuwa msaliti na Rais ashindwe kumwajibisha ni naniKwani we umejuaje kuwa huyo mbunge alivyosema yuda,ana maana ya imma?
Emma Anapeta TuKwa nchii hii, anaweza kuji uzuru na bado uchaguzi usifanyike akateuliwa mtu kushika wadhifa huo, na bado watu wasifanye chochote.
Nchi ina wenyewee hii, na wenyewe wapo, ila sio sisi.