Kama ningekuwa Nchimbi ningejiuzulu kwa kuitwa Yuda

Makamu wa Rais akijiuzulu tutapata fursa ya kurudia uchaguzi mkuu, na hapo ndo tutawabana tufanye free and fair election, na hapo ndo tutamuondosha huyo anayemtetea

Mzee wangu Nchimbi huna hasira?

Rais wa nchi amesafiri hatujui mmeagana vip maana hatujakuona airport ukimsindikiza,

Makamu wa Rais ni cheo kikubwa,
Makamu wa Rais sio mteule, yupo pale Kwa kuchaguliwa

Haiwezekani mbunge kidagaa amuite kiongozi wa juu kitaifa Yuda

Anamwita Yuda kuwa amesaliti nini?
Nani? Amesaliti Kwa nani?
Huyo mbunge Uyuda wa Makamu wa Rais ameujuaje?

Mbunge kutoka Zanzibar anamdhihaki makamu wa Rais kutoka Tanganyika kuwa anaenda kanisani ( udini). Sasa kama Mkristo ataendaje kufanya ibada muskitini anakotaka aende?

Nchimbi tafakari Kwa kina utoe maamzi

Pia soma Mbunge Simai: Serikalini kuna Yuda, huko nyuma amewahi kutajwa ni mzigo, amewaumiza watu wengi

Kwa mtu uliyekwenda shule hadi darasa la saba; Unaona kabisa ni sawa kuchukulia siriasi kila kauli zinazo ongewa na watu? Ujue wengine wapo Bungeni kwa bahati na sio kwa uwezo/elimu nk
Sasa ukitaka kila kinachosemwa watu wajiuzulu; si kila Bunge likipita tutaenda kwenye uchaguzi?
lakini pia, Bungeni watu wanaweza kubwabwaja watakavyo kwa kuwa hakuna kushitakiwa...kule wote wana immunity.
Learn how to think out of the box bro!!!
 
Hahaha uwezo wa kujiuzulu Hana

Ndio akome nayeye sianahusika kuwakandamiza watanzania maovu yanayo fanywa Toka upande wao hayaoni kwanini asichukue hatua

Wote ni wale wale tu acha limfike jambo
Halafu kweli aiseee
 
Hapana, Nchimbi hatakiwi kujiuzulu anatakiwa abaki humo humo wabanane sawa sawa. Akijiuzulu nyepesi nyepesi upande wa pili watazipataje?? Uzuri Nchimbi yupo very smart uwa hawataji watu kwa majina uwa anarusha code mzijue wenyewe. Inavyoonekana ndani ya CCM kuna ccm mstaafu na ccm mwendazake + Polepole .Naiona miaka 5 ya mama ikiwa migumu sana.
 
Makamu wa Rais akijiuzulu tutapata fursa ya kurudia uchaguzi mkuu, na hapo ndo tutawabana tufanye free and fair election, na hapo ndo tutamuondosha huyo anayemtetea

Mzee wangu Nchimbi huna hasira?

Rais wa nchi amesafiri hatujui mmeagana vip maana hatujakuona airport ukimsindikiza,

Makamu wa Rais ni cheo kikubwa,
Makamu wa Rais sio mteule, yupo pale Kwa kuchaguliwa

Haiwezekani mbunge kidagaa amuite kiongozi wa juu kitaifa Yuda

Anamwita Yuda kuwa amesaliti nini?
Nani? Amesaliti Kwa nani?
Huyo mbunge Uyuda wa Makamu wa Rais ameujuaje?

Mbunge kutoka Zanzibar anamdhihaki makamu wa Rais kutoka Tanganyika kuwa anaenda kanisani ( udini). Sasa kama Mkristo ataendaje kufanya ibada muskitini anakotaka aende?

Nchimbi tafakari Kwa kina utoe maamzi

Pia soma Mbunge Simai: Serikalini kuna Yuda, huko nyuma amewahi kutajwa ni mzigo, amewaumiza watu wengi
Hakuna kujiuzulu kmmk
 
Makamu wa Rais akijiuzulu tutapata fursa ya kurudia uchaguzi mkuu, na hapo ndo tutawabana tufanye free and fair election, na hapo ndo tutamuondosha huyo anayemtetea
Pascal Mayalla hili lina ukweli? Wewe ni mwanasheria wa Katiba.....
VP akijiuzulu,hakuna uchaguzi kurudiwa bali rais anamteua mtu mwingine, ndani ya siku 14, na kuthibitishwa na Bunge.

P
 
Makamu wa Rais akijiuzulu tutapata fursa ya kurudia uchaguzi mkuu, na hapo ndo tutawabana tufanye free and fair election, na hapo ndo tutamuondosha huyo anayemtetea

Mzee wangu Nchimbi huna hasira?

Rais wa nchi amesafiri hatujui mmeagana vip maana hatujakuona airport ukimsindikiza,

Makamu wa Rais ni cheo kikubwa,
Makamu wa Rais sio mteule, yupo pale Kwa kuchaguliwa

Haiwezekani mbunge kidagaa amuite kiongozi wa juu kitaifa Yuda

Anamwita Yuda kuwa amesaliti nini?
Nani? Amesaliti Kwa nani?
Huyo mbunge Uyuda wa Makamu wa Rais ameujuaje?

Mbunge kutoka Zanzibar anamdhihaki makamu wa Rais kutoka Tanganyika kuwa anaenda kanisani ( udini). Sasa kama Mkristo ataendaje kufanya ibada muskitini anakotaka aende?

Nchimbi tafakari Kwa kina utoe maamzi

Pia soma Mbunge Simai: Serikalini kuna Yuda, huko nyuma amewahi kutajwa ni mzigo, amewaumiza watu wengi
Alichaguliwa na nani?
 
TATIZO NI UISLAMU UMETUMIKA KUINGIZA GENGE HATARI LA RAIA FEKI NA AJENDA ZAO
 
Makamu wa Rais ni cheo kikubwa,
Makamu wa Rais sio mteule, yupo pale Kwa kuchaguliwa

Haiwezekani mbunge kidagaa amuite kiongozi wa juu kitaifa Yuda

Anamwita Yuda kuwa amesaliti nini?
Nani? Amesaliti Kwa nani?
Huyo mbunge Uyuda wa Makamu wa Rais ameujuaje?

Mbunge kutoka Zanzibar anamdhihaki makamu wa Rais kutoka Tanganyika kuwa anaenda kanisani ( udini). Sasa kama Mkristo ataendaje kufanya ibada muskitini anakotaka aende?

Nchimbi tafakari Kwa kina utoe maamzi

View: https://youtu.be/19L2quNw-HE?si=GdG_QmcH6Dlo20rV
Huyo dogo, nilimsifu sana humu alikuwa shujaa wangu, kaharibu!. Simai kujiuzulu ni ushujaa mkubwa kama Nyerere alivyojiuzulu U-PM. Anastahili pongezi, lawama, shutuma, na kukaliwa vikao au apewe maua yake? na makala gazetini nikamuandikia
View attachment 3600212
Ukimjua huyo mtu huyu jamaa aliyemuita Yuda, kiukweli huyu dogo Mhe. Simai, amechemka big time!.
Huyo aliyemuita Yuda, yeye hana matatizo, tatizo ni walio nyuma ya huyo Yuda!, Simai anajiingiza kwenye a very dangerous zone bila mwenyewe kujijua!, kusipotokea wenye busara, kumshauri, acheze mbali na anga za huyo Yuda!, take it from me, sasa hivi Mhe. Simai atageuka kuwa ni historia in no time!.
Haiwezekani mtu ninayemuona hivi
Haiwezekani mtu wa namna hii akatwa Yuda, tunaomjua kuwa sio Yuda tukanyamaza.
Huyu dogo kachemka big time!.

P

P
 
Kwani we umejuaje kuwa huyo mbunge alivyosema yuda,ana maana ya imma?
“Rais Samia anaongoza Nchi kwa upendo lakini ndani ya Serikali kuna (YUDA) huyu Yuda anazunguka makanisani kutafuta huruma ya wananchi, anatuaminisha kwamba Rais Magufuli alimpenda sana, kama Magufuli alimpenda kwa nini alimtupa huko Nje, Sisi tunajua watu waliopendwa na Magufuli” - SIMAI SAID, Mbunge Kupitia Baraza la Wakalishi ZANZIBAR.

Kama mpaka hapo hujajua nani mlengwa basi rudi shule
 
ipo kazi
 
Back
Top Bottom