Kama Ningekuwa Rais

Kama Ningekuwa Rais

Hapo kwenye elimu wee jamaa Mawazo yako yapo kama yangu hadi nimeshangaa iwaje tufanane idea vilevile nlivokua nawaza... Big up mku
 
Ningeanzisha Mfuko wa maendeleo ambao pia kila mtu anawezachangia kiasi chochote. Mwisho wa siku nasadia au kutoa mkopo kwa wananchi wa chini usio na riba
 
ndo mana haujawa Raisi wa JMT, labda uwe raisi wa Manzese
 
Mkuu unaonaje tufanye mapinduzi uingie ikulu halafu mimi unipe ak47 ya kuulia mafisadi?
 
Mkuu mbona una hasira hivyo?,kwani mimi ndo nasababisha walimu mnalipwa mshahara tarehe 40?
Hivi tarehe 25 ya kila mwezi ni 40,,tuna safari ndefu sana kama wewe ndio unataka urais
 
Back
Top Bottom