Kama nisipo jifunza mwaka huu wa 2024 niwe mfano wa kenge asiye sikia hadi damu kumtoka

Wanawake was type hii huwa mnakutana nao wapi?πŸ₯ΊπŸ€”πŸ™‡πŸΏβ€β™‚! Mbona tulio nao sisi ni msaada mkubwa sana kwenye maisha yetu?
Huenda hujagundua.

Hata mimi niliamini hivyo.

Nilikuwa nikiulizwa mbona kimya nikisema sina vocha, dakika haipiti nitarushiwa hela nyingi sana.

Nitanunuliwa nguo na zawadi za kila aina.

Msemo wa mwana hapo juu ulikuja kujidhihirisha, kilichoniokoa i was ready, i somehow expected it.

Kama anaendelea kuonyesha msaada hata kama huna kitu, fahamu kuwa ana uhakika asilimia 100 kuwa ipo siku utamake

Akishapoteza imani ya wewe kuja kumake, utashangaa.

She will treat you like a dog.
 
Daaaah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…