Kama nisipo jifunza mwaka huu wa 2024 niwe mfano wa kenge asiye sikia hadi damu kumtoka

Kama nisipo jifunza mwaka huu wa 2024 niwe mfano wa kenge asiye sikia hadi damu kumtoka

Tunaendelea kusisistiza,KATAAA NDOA!!!!

Wale wote ambao bado mmepumbazwa na mapenzi kedekede mnayoectiwa,saa na muda waja.

Bado hamjasema,mtasema tu🤗

#KATAA NDOA KULINDA AFYA YAKO YA AKILI NA MWILI, OKOA UCHUMI WAKO!!!
 
Back
Top Bottom