Kama ntaweza kupata chuo na hizi marks zangu

Jese Pinkman

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2014
Posts
661
Reaction score
338
Ufaulu wangu ni huu History=B, Kiswahili=B, Language=C , div 3 point 10, je ninaweza kupata chuo? Pia course ipi naweza kusoma mana sijajua hata nisome kitu gani.
 
Umepataje Division III Point 10 kwa ufaulu wa BBC!? Ungekuwa umepata ufaulu huo ungekuwa na Div 1:7. Kwa mtaji huu umesema uongo na SIKU ZOTE UKITAKA USHAURI WA MAANA SEMA UKWELI.
 
Inawezekana ikawa ni kweli baada ya madaraja kurekebishwa na grade kuongezwa A, B+ pamoja na zingine hivyo kwa utaratibu huo B zake mbili ni pointi sit a na C moja pointi nne,jumla kumi.
 
Umepataje Division III Point 10 kwa ufaulu wa BBC!? Ungekuwa umepata ufaulu huo ungekuwa na Div 1:7. Kwa mtaji huu umesema uongo na SIKU ZOTE UKITAKA USHAURI WA MAANA SEMA UKWELI.

Grade zimebadilika mkuu!.Saiv kuna A,B+,B,C,D.......kua updated mara kwa mara mkuu
 
Umepataje Division III Point 10 kwa ufaulu wa BBC!? Ungekuwa umepata ufaulu huo ungekuwa na Div 1:7. Kwa mtaji huu umesema uongo na SIKU ZOTE UKITAKA USHAURI WA MAANA SEMA UKWELI.

mkuu wewe ndio ume chemsha 3-7 ndio daraja la kwanza.....la pili ni 8-9 ni daraja la pili!!....
 
Ufaulu wangu ni huu History=B, Kiswahili=B, Language=C , div 3 point 10, je ninaweza kupata chuo? Pia course ipi naweza kusoma mana sijajua hata nisome kitu gani.

duh kweli TANZANIA NI YA VILAZA WA DV 5 yaani unatudanganya watu wazima mchana kweupe namna hii?ivi hujui kua JF kuna zaidi ya wasomi humu? eti nimepata B.B.C.

Alafu una dv3 point 10?? yaan umemaliza form 6 ata kuhesabu hujui?? pole sana
 
duh kweli TANZANIA NI YA VILAZA WA DV 5 yaani unatudanganya watu wazima mchana kweupe namna hii?ivi hujui kua JF kuna zaidi ya wasomi humu? eti nimepata B.B.C. Alafu una dv3 point 10?? yaan umemaliza form 6 ata kuhesabu hujui?? pole sana
Watu kwa kujidai mnajua kumbe hamna kitu, kashifa zote hizo wakati we ndio hujui hata kinachoendelea nchini mwako, kama hao wasomi na wewe ni mmoja wao basi ni shidaa, kabla hujaleta dharau make sure you are well informed.
 
Ufaulu wangu ni huu History=B, Kiswahili=B, Language=C , div 3 point 10, je ninaweza kupata chuo? Pia course ipi naweza kusoma mana sijajua hata nisome kitu gani.

fanya tafakuri ya kutosha mkuu katika kusoma wengi tunakulupuka mwisho wa cku tunajuta. tuliza kichwa usisome kwa sifa.
 
duh kweli TANZANIA NI YA VILAZA WA DV 5 yaani unatudanganya watu wazima mchana kweupe namna hii?ivi hujui kua JF kuna zaidi ya wasomi humu? eti nimepata B.B.C. Alafu una dv3 point 10?? yaan umemaliza form 6 ata kuhesabu hujui?? pole sana

Unaongea kwa kujiamini sana kumbe upo gizana, hujui walichofanya BRN?
 
Watu kwa kujidai mnajua kumbe hamna kitu, kashifa zote hizo wakati we ndio hujui hata kinachoendelea nchini mwako, kama hao wasomi na wewe ni mmoja wao basi ni shidaa, kabla hujaleta dharau make sure you are well informed.

mimi mwenyewe nimemshangaa, kashfa nyingi baba mtu mzima, kumbe yeye ndio hajui hata mabadiliko yaliyotokea nchini mwake, sasa hapo una usomi gani ndugu yangu, khaaaa!
 
Wakuu anachosema dogo yuko sahihi madaraja yamebadilika .zaman kwel kwa sasa ndo dv 3 hiyo
 
Hivi mtu akipata G/studies D, Phyisics D, Chemistry D, Biology B, BAM B amepata div. iii ya 13 na alikuwa anachukua PCB hii anaenda course gani?
 
duh kweli TANZANIA NI YA VILAZA WA DV 5 yaani unatudanganya watu wazima mchana kweupe namna hii?ivi hujui kua JF kuna zaidi ya wasomi humu? eti nimepata B.B.C. Alafu una dv3 point 10?? yaan umemaliza form 6 ata kuhesabu hujui?? pole sana

Hivi we kijana ni mzima kweli? Usipende kukurupuka kama mvuta bangi.
 
Hivi mtu akipata G/studies D, Phyisics D, Chemistry D, Biology B, BAM B amepata div. iii ya 13 na alikuwa anachukua PCB hii anaenda course gani?

D sio principle mkuu.
 
Hivi mtu akipata G/studies D, Phyisics D, Chemistry D, Biology B, BAM B na alikuwa anachukua PCB hii anaenda course gani?

Mkuu hapo kasome course nzuri nyingi unaweza soma kama medicine -udom , tu maana hayo mtokeo yako EEC ambayo three ya 13 . kwa mfumo tuliotumia sisi enzi zetu
 
huyo mtahiniwa kama hujui usome nini kasome course za business huko zinaeza kukusaidia hata ukaja kuwa mjasiriamali kama unapenda au ukaajiriwa vilevile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…