Jese Pinkman
JF-Expert Member
- Mar 5, 2014
- 661
- 338
Ufaulu wangu ni huu History=B, Kiswahili=B, Language=C , div 3 point 10, je ninaweza kupata chuo? Pia course ipi naweza kusoma mana sijajua hata nisome kitu gani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inawezekana ikawa ni kweli baada ya madaraja kurekebishwa na grade kuongezwa A, B+ pamoja na zingine hivyo kwa utaratibu huo B zake mbili ni pointi sit a na C moja pointi nne,jumla kumi.Umepataje Division III Point 10 kwa ufaulu wa BBC!? Ungekuwa umepata ufaulu huo ungekuwa na Div 1:7. Kwa mtaji huu umesema uongo na SIKU ZOTE UKITAKA USHAURI WA MAANA SEMA UKWELI.
Umepataje Division III Point 10 kwa ufaulu wa BBC!? Ungekuwa umepata ufaulu huo ungekuwa na Div 1:7. Kwa mtaji huu umesema uongo na SIKU ZOTE UKITAKA USHAURI WA MAANA SEMA UKWELI.
Umepataje Division III Point 10 kwa ufaulu wa BBC!? Ungekuwa umepata ufaulu huo ungekuwa na Div 1:7. Kwa mtaji huu umesema uongo na SIKU ZOTE UKITAKA USHAURI WA MAANA SEMA UKWELI.
Ufaulu wangu ni huu History=B, Kiswahili=B, Language=C , div 3 point 10, je ninaweza kupata chuo? Pia course ipi naweza kusoma mana sijajua hata nisome kitu gani.
Watu kwa kujidai mnajua kumbe hamna kitu, kashifa zote hizo wakati we ndio hujui hata kinachoendelea nchini mwako, kama hao wasomi na wewe ni mmoja wao basi ni shidaa, kabla hujaleta dharau make sure you are well informed.duh kweli TANZANIA NI YA VILAZA WA DV 5 yaani unatudanganya watu wazima mchana kweupe namna hii?ivi hujui kua JF kuna zaidi ya wasomi humu? eti nimepata B.B.C. Alafu una dv3 point 10?? yaan umemaliza form 6 ata kuhesabu hujui?? pole sana
Ufaulu wangu ni huu History=B, Kiswahili=B, Language=C , div 3 point 10, je ninaweza kupata chuo? Pia course ipi naweza kusoma mana sijajua hata nisome kitu gani.
duh kweli TANZANIA NI YA VILAZA WA DV 5 yaani unatudanganya watu wazima mchana kweupe namna hii?ivi hujui kua JF kuna zaidi ya wasomi humu? eti nimepata B.B.C. Alafu una dv3 point 10?? yaan umemaliza form 6 ata kuhesabu hujui?? pole sana
Watu kwa kujidai mnajua kumbe hamna kitu, kashifa zote hizo wakati we ndio hujui hata kinachoendelea nchini mwako, kama hao wasomi na wewe ni mmoja wao basi ni shidaa, kabla hujaleta dharau make sure you are well informed.
duh kweli TANZANIA NI YA VILAZA WA DV 5 yaani unatudanganya watu wazima mchana kweupe namna hii?ivi hujui kua JF kuna zaidi ya wasomi humu? eti nimepata B.B.C. Alafu una dv3 point 10?? yaan umemaliza form 6 ata kuhesabu hujui?? pole sana
Hivi mtu akipata G/studies D, Phyisics D, Chemistry D, Biology B, BAM B amepata div. iii ya 13 na alikuwa anachukua PCB hii anaenda course gani?
Hivi mtu akipata G/studies D, Phyisics D, Chemistry D, Biology B, BAM B na alikuwa anachukua PCB hii anaenda course gani?
Haya ni majungu makubwa sana!!!!Mlioferi nendeni Mkalime,Msilazimishe fani tuwaachie wengine