Kama ntaweza kupata chuo na hizi marks zangu

Law,mass communicanition n.k ila kwa courses hizi itazingatia ufaulu wa kiwango cha C ktk somo la English O_level
 
duh kweli TANZANIA NI YA VILAZA WA DV 5 yaani unatudanganya watu wazima mchana kweupe namna hii?ivi hujui kua JF kuna zaidi ya wasomi humu? eti nimepata B.B.C. Alafu una dv3 point 10?? yaan umemaliza form 6 ata kuhesabu hujui?? pole sana

Hahaha yan ww mkuu ndo kilaza.. Msomi gan haui updated?
 
Ufaulu wangu ni huu History=B, Kiswahili=B, Language=C , div 3 point 10, je ninaweza kupata chuo? Pia course ipi naweza kusoma mana sijajua hata nisome kitu gani.

kama una C au D ya hesabu O'level kuna kozi moja inaitwa project planning,management and community devolopment (PPM&CD) ipo UDOM ni nzuri sana ila ukiwa na D kuchaguliwa ni bahati nasibu mana kuna hesabu za hapa na pale km uko vibaya kwenye hayo mambo itakusumbua. Mass communication pia haitakuwa mbaya kwako.
 
Hivi mtu akipata G/studies D, Phyisics D, Chemistry D, Biology B, BAM B amepata div. iii ya 13 na alikuwa anachukua PCB hii anaenda course gani?

Mkuu hapo anaenda diploma kwani principle inaanzia C,km anataka degree arudie mtihani
 
Ufaulu wangu ni huu History=B, Kiswahili=B, Language=C , div 3 point 10, je ninaweza kupata chuo? Pia course ipi naweza kusoma mana sijajua hata nisome kitu gani.

Nadhani pia kuna haja ya kufanya jambo juu ya hawa vijana waliopo mashuleni!
Elimu yetu haiwapi misingi ya kujua nini wanatakiwa waje kusoma mbeleni. Vijana wengi vyuoni wanasoma vitu kwa mkumbo (hasa kwa kuangalia ufaulu wao). Hili pia ni tatizo linalosababisha vijana washindwe kujiajiri kwa kukosa ubunifu.
POLENI madogo (binafsi huwa naguswa sana na hali hii, naamini ipo siku kuna jambo litafanyika juu ya hawa vijana wasiokuwa na hatia).
Ningeshauri watu wazima tusiwacheke madogo kama hawa; hawa ni vijana wadogo sana kifikra (wanahitaji sana miongozo yetu). Hawa wanaathirika na mfumo wetu mbovu wa elimu. Hata kama tupo tuliopitia njia wanayopitia hakuna haja ya kutowajali.
Mwisho kabisa ni kwa mleta mada. Binafsi naiona "performance" yako ni nzuri. Kubadilishwa kwa madaraja si kubadilishwa marks (100 itabaki kuwa 100 vilevile zero). Namaanisha kama mwaka wenu kuna watu ishirini waliopata 100 katika somo fulani, kubadili daraja hakufanyi waliopata hiyo 100 wapungue au waongezeke (kwa hiyo usitishike na jina la division 3). Kingine elimu ya sasa si ile yetu ya miaka 47. Kwa sasa na kwa ufaulu wako unaweza somea fani yeyote ya sanaa (Art). Kwa hivyo basi ni juu yako kujitambua ni nini hasa unataka uje ufanye maishani mwako.
 
duh kweli TANZANIA NI YA VILAZA WA DV 5 yaani unatudanganya watu wazima mchana kweupe namna hii?ivi hujui kua JF kuna zaidi ya wasomi humu? eti nimepata B.B.C. Alafu una dv3 point 10?? yaan umemaliza form 6 ata kuhesabu hujui?? pole sana

we ndio lizuzu likuu hapo kwenye jamii yako kuku wee. kelele nyingi wakat hujui kitu.
 
tcu guide book 2014/2015 ipo out we download afu somaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…